From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
caracas, venezuela.
caracas, venezuela.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
venezuela sio caracas, si la lagunita wala mtandao wa twita.
venezuela is not caracas, it is not la lagunita nor twitter.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
05:24 hali ya wasiwasi inaendelea katika chuo kikuu cha ucab mjini caracas.
5:24pm tense situation goes on in ucab caracas.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
wafuasi wa hugo chávez wakati wa mkutano wa kampeni tarehe 11 june, 2012 jijini caracas.
hugo chávez supporters during campaign rally on june 11, 2012, in caracas.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
alipata elimu yake katika miji ya caracas na maracaibo, lakini ilikuwa ni huko paris ambako kazi yake ilipata mwelekeo wenye nguvu zaidi.
he received his education in the cities of caracas and maracaibo, but it was in paris where his career took a powerful turn.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwenye blogu ya caracas chronicles francisco toro anashutumu kutokuwepo kwa vyombo vya habari vya kimatafa kutangaza ghasia na matukio yanayoendelea kukua tangu februari 19.
in the blog caracas chronicles francisco toro reacts to the lack of media coverage about the escalating violence and the events on february 19.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
machafuko katika mitaa yamefikia kiwango ambacho hayakuwahi kushuhudiwa, yakiliweka jiji la caracas katika nafasi ya juu kabisa kwa kuwa miongoni mwa majiji hatari kabisa duniani.
violence on the streets went to levels never seen, putting caracas on the top of the list of the most dangerous cities in the world.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
caracas ulikuwa ni mji uliokuwa unapendeza, wenye majengo marefu, barabara kuu, barabara za kupandana, na barabara zilizokuwa zimefanyiwa ukarabati siku za karibuni.
caracas was a shiny modern city, with high-rises, highways, flyovers, and recently repaved roads.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kumbuka: tuliweza kuifahamu kazi ya eduardo kupitia makala ya francisco toro katika blogu ya kumbukumbu ya matukio ya caracas ( caracas chronicles).
this post is part of our special coverage venezuela elections 2012. note: we came across eduardo's work through a post by francisco toro in the blog caracas chronicles.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
gazeti la caracas lilichapisha mkusanyiko wa twiti kutoka kwa mtumiaji wa mtandao wa twita aitwaye héctor rotunda (@hecalo), anayeelezea mfululizo wa matukio tangu génesis carmona alipopigwa risasi mpaka alipopoteza maisha yake.
a caracas newspaper has published a collection of tweets from the user héctor rotunda (@hecalo), who narrates the events from the moment génesis carmona received the gunshot wound until her death.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
dada mkubwa wa mama yangu alihamia venezuela miaka ya 1950. aliolewa huko caracas na aliishi huko na mumewe pamoja na watot wao wawili wa kiume. mara baada ya binamu wangu mdogo kufariki katika ajali ya gari, mama yangu na dada yake waliimarisha ukaribu wao, na kamwe hawakuruhusu umbali uwatenganishe.
my mother's elder sister moved to venezuela in the late 1950s. she got married in caracas and settled there with her husband and two sons. after my younger cousin died in a car accident, my mother and her sister strengthened their bond and never let distance deter them from staying in touch.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: