From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
juhudi za uokoaji kuwatafuta wachimbaji 25 hadi 30 walionaswa katika mgodi katika idara ya cauca.
rescuing efforts for finding 25 to 30 miners trapped in a mine in cauca.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
watu wasiopungua watatu walikufa na kati ya watu 25 na 30 wamenaswa baada ya kuanguka kwa mgodi ulikuwa unaendeshwa kinyume cha sheria katika idara ya cauca, kusini magharibi mwa colombia, kama ilivyoripotiwa na vyombo vya habari mnamo alhamisi, mei 1.
at least three people died people and between 25 and 30 got trapped after the collapse of an illegally operated mine in the department of cauca, soutwest of colombia, as reported local media on thursday, may 1.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: