Results for chekechea translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

chekechea

English

kindergarten

Last Update: 2021-07-15
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

picha hizi zinaonyesha watu waliochuchumaa dunia nzima, pamoja na hii ya watoto wa chekechea huko singapore:

English

these photos show people squatting globally, including this one of preschoolers in singapore:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

baada ya kupima zaidi ya watoto mia moja katika kituo hicho, mwanafunzi wa chekechea alipatikana kuwa na virusi.

English

after testing over one hundred children at the facility, a preschool student was found to be carrying the virus.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

masomo ya kiwango cha chekechea kwa kawaida huundwa kwa ajili ya watoto wenye umri wa chini ya miaka 3 yanaweza kurejelea masomo yote ya viwango vya chekechea na mipango fulani ya kutunza watoto nyakati za mchana.

English

early childhood educational programmes are usually designed for children below the age of 3 and may refer to preschools, nursery schools, kindergartens, and some day care programmes.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ingawa shule nyingi za msingi na sekondati zikiwa zimefunwa kote ulimwenguni kutokana na covid-19, hatua zinazoathiri mipango ya masomo ya chekechea zimekuwa tofauti.

English

while many primary and secondary schools have closed around the world due to covid-19, measures impacting early childhood educational programmes have varied.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

katika baadhi ya nchi na himaya, shule za chekechea na huduma za utunzaji watoto mchana zinazingatiwa kuwa huduma muhimu na hazijafungwa kulingana na hatua pana za kufunga shule.nchini marekani, idara ya kitaifa ya watoto, vijana na familia ya washington ilihimiza huduma za utunzaji wa watoto na vituo vya masomo ya awali kusalia kufunguliwa.

English

in some countries and territories, preschools and day cares are considered necessary services and have not closed in tandem with broader school closure measures.in the united states, the washington state department of children, youth, and families encouraged child care and early learning centres to stay open.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,649,980,386 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK