Results for chukueni translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

chukueni hadhari yenu!

English

always be on your guard against encounters.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na chukueni hadhari yenu.

English

but take your precaution.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

enyi mlio amini! chukueni hadhari yenu!

English

believers, always be well prepared and on your guard.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

amani na pesa dio nataka nyi wanaume chukueni wasichana tu

English

i want money

Last Update: 2024-04-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na anacho kupeni mtume chukueni, na anacho kukatazeni jiepusheni nacho.

English

and whatsoever the messenger giveth you, take it. and whatsoever he forbiddeth, abstain (from it).

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

chukueni hadhari yenu! na mtoke kwa vikosi au tokeni nyote pamoja!

English

be cautious, then advance towards the enemy in small numbers or all together.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na chukueni hadhari yenu. hakika mwenyezi mungu amewaandalia makafiri adhabu ya kudhalilisha.

English

god has reserved for infidels a despicable punishment

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na anacho kupeni mtume chukueni, na anacho kukatazeni jiepusheni nacho. na mcheni mwenyezi mungu.

English

accept what the apostle gives you, and refrain from what he forbids, and take heed for yourself and fear god.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

chukueni pambo lenu kwenye kila pahala wakati wa ibada, na kuleni, na kunyweni na wala msifanye ubadhirifu.

English

dress properly at every place of worship, and eat and drink, but do not be excessive.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

chukueni, kwa mfano, wayahudi wenyewe: kwao, wenye kula vilivyotambikiwa madhabahuni waliungana na hiyo madhabahu.

English

behold israel after the flesh: are not they which eat of the sacrifices partakers of the alter?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

enyi wanaadamu! chukueni pambo lenu kwenye kila pahala wakati wa ibada, na kuleni, na kunyweni na wala msifanye ubadhirifu.

English

children of adam, take your adornment at every place of prayer. eat and drink, and do not waste.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

chukueni pambo lenu kwenye kila pahala wakati wa ibada, na kuleni, na kunyweni na wala msifanye ubadhirifu. kwa hakika yeye hapendi wanao fanya israfu.

English

adorn yourself when you go to the mosque, and eat and drink, and do not cross limits; indeed he does not like the transgressors.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

chukueni kwa mfano, kunguru: hawapandi, hawavuni wala hawana ghala yoyote. hata hivyo, mungu huwalisha. ninyi mna thamani zaidi kuliko ndege!

English

consider the ravens: for they neither sow nor reap; which neither have storehouse nor barn; and god feedeth them: how much more are ye better than the fowls?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@tkb: @kainvestor @worldbank kuwaalika watu wiki ni sawa na @wikipedia ambao hawawalipi intani. chukueni mifano mizuri ya kimataifa ambapo kila kitu kinafanywa kwa uwazi.

English

@tkb: @kainvestor @worldbank inviting users to wiki is same as @wikipedia who don't #payinterns create a global public good with all content open!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,906,793,671 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK