From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
chupa ombwe
thermos
Last Update: 2023-07-14
Usage Frequency: 6
Quality:
chupa ya thermos
thermometer
Last Update: 2020-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
chupa ya chai kwa kiswahili
chupa ya chai kwa kiswahili
Last Update: 2024-07-23
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
amebeba chai iliyopoa katika chupa ya plastiki.
he's got cold tea in a plastic bottle.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
lakini wale wenye busara walichukua mafuta katika chupa pamoja na taa zao.
but the wise took oil in their vessels with their lamps.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
niliweza kupata chupa mbili za maji ambazo ndizo zilizonifanya nikawa hai kwa siku zote hizi.
i managed to collect two bottles and survived on them all these days.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
gharama ya maji ya chupa yalipanda mara nne zaidi ya bei ya kawaida katika kipindi cha tatizo la theluji.
the price for bottled water rose four times during snowing days.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wakazi wa lanzhou wakigombania maji ya chupa mara baada ya mamlaka ya jiji kutoa tangazo la kutokutumia maji ya bomba.
lanzhou residents snatched up bottled water after the local government issued warnings not to drink tap water.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
idara husika zimeshakusanya maji ya kwenye chupa na ndoo za maji kutoka katika maeneo ya jirani, na maji haya yatagawanywa kwa raia kupitia idara na jumuia mbalimbali..
relevant departments have been gathering bottled water and buckets of water from neighbouring areas, and these will be handed to residents via different administrative departments and organizations.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
maeneo mengi pia yalishuhudia watu kununua kwa hofu jambo lililosababisha maduka kukosa bidhaa muhimu za kama vile vyakula, karatasi shashi na maji ya chupa na kuibua upungufu wa usambazaji wa bidhaa.
several localities also witnessed panic buying that led to shelves being cleared of grocery essentials such as food, toilet paper, and bottled water, inducing supply shortages.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ombwe la uongozi ni hatari na linawajibika kwa mauaji ya eneo la kaskazini, utekaji nyara mashariki ya nchi, magenge ya wanajeshi kubaka watu kusini mwa nchi na tofauti za kiufahamu zilizoko magharibi.
leadership vacuum is dangerous and is responsible for killings in the north, kidnapping in the east, militants gang raping in the south south and intellectual indifference in the west.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
basi, katika mji ule kulikuwa na mama mmoja aliyekuwa anaishi maisha mabaya. alipopata habari kwamba yesu yuko nyumbani kwa huyo mfarisayo, alichukua chupa ya alabasta yenye marashi.
and, behold, a woman in the city, which was a sinner, when she knew that jesus sat at meat in the pharisee's house, brought an alabaster box of ointment,
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kutokuwepo kwa yar’adua kulisababisha ombwe la kiuongozi ambalo liliwasumbua wanaijeria wengi, hasa wakati ambao matatizo yalijitokeza kama pale umar abdulmutallab alipofanya jaribio la ugaidi na mgogoro wa kidini katika mji wa katikati ya naijeria wa jos.
yar'adua's absence created a leadership vacuum which frustrated many nigerians, particularly in the wake of crises such as umar abdulmutallab's attempted terror attract and the religious conflict in the central nigerian city of jos.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa mfano, mbinu hii bora ya kutumia chupa za za maji plastiki zilizotupwa kwa ajili ya kutengeneza bustani ya kuelekea juu: picha ya kuotesha mbegu ni ya chrisseee kwenye mtandao wa flickr, inalindwa kwa hatimiliki ya creative commons attribution license.
for example, this is a great way to use up discarded plastic water bottles to grow food on a vertical garden: seedling image is by chrisseee on flickr, with a creative commons attribution license.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
msikilizaji: ungependa kuagiza nini, bwana? mteja: naweza kuona menyu, tafadhali? msikilizaji: kwa kweli. hapa ni wewe. mteja: ahsante. (mteja anaangalia menyu na anasema.) mteja: ningependa kuagiza kuku na mchele wa grisi. msikilizaji: je! ungependa kitu chochote cha kunywa na chakula chako, bwana? mteja: ndio, ningependa chupa ya maji ya madini. (waiter anarudi na chakula baada ya dakika chache na kuiweka mezani.) kiungo: furahiya chakula chako! mteja: ahsante. (baada ya
waiter: what would you like to order, sir? customer: can i see the menu, please? waiter: certainly. here you are. customer: thank you. (the customer takes a look at the menu and says.) customer: i’d like to order grilled chicken and rice. waiter: would you like anything to drink with your meal, sir? customer: yes, i’d like a bottle of mineral water. (waiter returns with the food after a few minutes and places it on the table.) waiter: enjoy your meal! customer: thank you. (after a
Last Update: 2020-03-12
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: