Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
mradi wa reli wa urefu wa kilometa 1,500 kati ya niamey, mji mkuu wa niger na cotonou, mji mkuu wa benin umepitishwa na mamlaka ya nchi hizo mbili na ujenzi utaanza machi 2014 .
a 1,500 km-long railway project between niamey, the capital city of niger and cotonou, the capital city of benin has been green lighted by the authorities of the two countries and construction will begin on march 2014 .
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
benoît illassa mjini cotonou anashangaa kwa nini vikundi binafsi vya kuwekeza kutoka aidha niger au cotonou havikuchaguliwa kuelekeza miradi hiyo.bajeti ya makadirio imewekewa kati ya mabilioni 100 za cfa (takribani dola bilioni 2).
benoît illassa in cotonou wonders why private investing groups from either niger or cotonou were not selected to pilot such projects. the projected budget is set at 100 billions cfa (about 2 billions usd).
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: