From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
aliamini kuwa ahmed alikuwa ama mjini dadaab au aliwahi kuwepo pale lakini jitihada zake za kumtafuta hazikuzaa matunda na pindi alikata tama ya kumpata.
he believed ahmed was either in dadaab or had been there but his efforts to find him were unsuccessful and he soon gave up hope of ever finding him.
mafunzo ya kijeshi yanayofanyika katika makambi ya wakimbizi wa kisomali huko dadaab, kaskazini mashariki ya kenya yamechochea kelele zinazochanganya wengi ndani na nje ya eneo.
the recruitment taking place in the somali refugee camps in dadaab, northeastern kenya has stirred some controversial outbursts by many in and outside the region.
mwaka 1992, binamu yake abdulahi sheikh aliwasili nchini kenya akitafuta msaada, alipopewa hadhi ya ukimbizi, abdulahi aliishia kwenye kambi ya dagahaley huko dadaab.
in 1992, his cousin abdulahi sheikh arrived in kenya in search of support. granted refugee status, abdulahi ended up in dagahaley camp in dadaab.
katika shambulizi lingine la kinyama katika kambi ya wakimbizi dadaab, wafanyakazi wanne wa shirika la misaada la kigeni kutoka canada, norway, ufilipino na pakistani walikamatwa na dereva wao mkenya kuuawa na watu wanaohisiwa kuwa ni al-shabaab.
in another bloody attack at the dabaab refugee camp, four foreign aid workers from canada, norway, the philippines and pakistan were seized and their kenyan driver killed by suspected al-shabaab militants.