Results for dhibiti utoaji wa merejeo ya vikoa translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

dhibiti utoaji wa merejeo ya vikoa

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

utoaji wa huduma za afya

English

health service delivery

Last Update: 2022-11-21
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

utoaji wa huduma za ushauri

English

i would like to register my apologies for some inconvenience that happened today

Last Update: 2023-12-11
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ninapinga kabisa utoaji wa mimba.

English

i am against abortions.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

nimonia inayopona: utoaji wa kioevu katika mapengo ya ufizi na pulmonary interstitial fibrosis.

English

healing pneumonia: organisation of exudates in alveolar cavities and pulmonary interstitial fibrosis

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

muhammad basheer alihudhuria utoaji wa mada hiyo na alituma ujumbe wa twita:

English

muhammad basheer attended the presentation and tweeted:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

njia ya kupunguza utoaji wa hewa ya ukaa ni kuhakikisha tunasafiri kwa usafiri wa umma badala ya kutumia usafiri binafsi kwenye magari yetu.

English

a way to globally reduce the carbon dioxide emissions is to make sure we travel with public transport rather than individually in our own cars.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kuna njia ambazo serikali inaweza kukuza uzalishaji wa kilimo katika nchi, kuliko utoaji wa simu.

English

there are also many more direct initiatives through which the government can boost agricultural production in the country, than provision of telephones.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

-theluthi ya mimba zote hazikutarajiwa, na theluthi ya mimba hizi husababisha utoaji wa mimba.

English

-a third of all pregnancies are unintended, and one third of these unintended pregnancies result in an abortion.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

vyombo vya kupitisha hewa vinavyoweza kudhibiti shinikizo na peep ya juu vinahitajika kuongeza utoaji wa oksijeni na bado ikipunguza hatari ya jeraha la mapafu linalohusiana na chombo cha kupitisha hewa

English

ventilators capable of pressure control modes and high peep are needed to maximise oxygen delivery while minimising the risk of ventilator-associated lung injury and pneumothorax.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

daktari aye maung ambaye ni mbunge na rais wa chama cha rakhine nationalities development alihoji kuwa utoaji wa misaada unaweza kufanyika bila ya kuweka ofisi ya oic nchini:

English

dr. aye maung, a member of parliament and the president of the rakhine nationalities development party has argued that aid and donation can be delivered without setting up an oic office in the country:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

tuombe kwamba jambo hili liamshe ari si ya kublogu peke yake lakini hasa katika kufanya mambo yaendane vema na utoaji wa makala zilizo mwafaka.

English

let us hope that this will spur growth in not just blogging but also in the relevance of the content.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

pia ni muhimu kukumbuka kwamba kwa kawaida dalili kiasi lakini zilizo na utoaji wa virusi kwa wingi kwa jumla zilionekana kwa ngamia walioambukizwa mers-cov kwa ajili ya majaribio.

English

it is also noteworthy that generally mild symptoms but massive virus shedding were observed in camels experimentally infected with mers-cov.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hali ya huduma ya mawasiliano katika nchi yetu mara nyingi imekuwa ikilinganishwa na urahisi wa upatikanaji na utoaji wa huduma hizi kutoka kwa wamiliki wa njia za mawasiliano kutoka nchi nyingine, ikiwa ni pamoja na maeneo ya amerika ya kusini.

English

the state of our services is frequently compared with the affordability and convenience with communication carriers from other countries, including those from latin american regions.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hata hivyo, , etecsa inaangalia namna ya utoaji wa huduma utakaochochea utoaji wa huduma kwa kuzingatia uwezo wa kiufundi na kwa gharama za chini zaidi ikilinganishwa na hali ilivyo sasa.

English

nonetheless, etecsa is working on investments that will facilitate the implementation of these services with the required technical conditions and at lower cost than the current ones.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kukabiliana na idadi kubwa ya mimba zisizo tarajiwa na elimu ya maswala ya uzazi haina budi kuanzishwa mashuleni na ni lazima kuwe na maeneo maalum ambayo kondomu pamoja na dawa za uzazi wa mpango zitakuwa zinatolewa bila malipo badala ya kukataza utoaji wa mimba.

English

to fight the high numbers of unwanted pregnancies, sex education should be introduced in schools and there must be places where condoms and oral contraceptives are disseminated free of charge, instead of putting a ban on abortions.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kazi ambazo zina hatari ya juu zinajumuisha utoaji wa huduma za afya, msaada, maabara, wafanyakazi wa kusafirisha matibabu ambao wamegusana na wagonjwa wanaojulikana au wanaoshukiwa wa covid-19.

English

high exposure risk jobs include healthcare delivery, support, laboratory, and medical transport workers who are exposed to known or suspected covid-19 patients.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

zimekuwa zikizingatia utoaji wa mikopo kwa wafanyabiashara ambao tayari wanamiliki biashara zao, wale ambao hawana biashara hawaruhusiwi kupewa mikopo kabisa. licha ya hivyo bado kuna changamoto za vigezo vya kupata mikopo hiyo kwa mfano ni lazim,a uwe na dhamana ya yenye kukidhi kuweza kupewa mkopo unaohitaji vilevile kuna gharama za mkopo huo unalazimiki uzigharamia kabla ya kuatiwa mkopo

English

have been focusing on lending to entrepreneurs who already own their businesses, those who do not have a business are not allowed to be given loans at all. however, there are still challenges to the criteria for obtaining such loans, for example, you must have a sufficient guarantee to be able to get the loan you need as well as there are costs of the loan that you have to pay before you can get a loan.

Last Update: 2020-11-29
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mashirika na watu binafsi kumi na tatu walitunukiwa tuzo hizo tarehe 23, machi 2013 kwa matumizi yao bora ya vyombo vya habari za kiraia kuandika maudhui na kutangaza kazi zao wakati washerehe za utoaji wa tuzo hizo nchini ghana, ambazo zilihudhuriwa na balozi wa marekani nchini humo gene a. cretz.

English

thirteen people and organizations were awarded on march 23, 2013 for their outstanding use of social media to create content and promote their work during ceremony in ghana, which was attended by us ambassador to ghana gene a. cretz.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

tovuti ya mujeresmundi, inayoongozwa na mtaalamu wa mawasiliano anayeishi peru na ubelgiji xaviera medina, inahusika na kampeni ya kuelemisha watu kuhusu "ni mtoto wa kike" inakosudiwa kukomesha utoaji wa mimba za kike nchini india na china:

English

the website mujeresmundi, directed by peruvian belgium-based communication specialist xaviera medina, is involved with the awareness campaign it's a girl against infanticide feminicide in india and china:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kuboresha miradi ya lishe kwa kuangalia zaidi makundi yanayoathirika zaidi na namna bora ya upatikanaji wa lishe ya kutosha; kuboresha ufanisi wa matumizi ya bajeti ya afya; kuboresha usimamizi wa rasilimali watu katika utoaji wa huduma za afya; uwepo wa vifaa kwa ajili ya kutolea huduma za dharura za afya; kuwarudisha madaktari katika vituo vya afya vya vijijini.

English

strengthen nutrition programs targeting the most vulnerable groups, and their access to adequate nutrition; enhance efficiency of budgetary expenses; improve management of healthcare human resources; introduce risk-free delivery kits; bring doctors back to health centers in rural areas.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,777,725,891 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK