Results for dinari translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

dinari

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

basi, wakaja wale walioajiriwa mnamo saa kumi na moja, wakapokea kila mmoja dinari moja.

English

and when they came that were hired about the eleventh hour, they received every man a penny.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wale wa kwanza walipofika, walikuwa wanadhani watapewa zaidi; lakini hata wao wakapewa kila mmoja dinari moja.

English

but when the first came, they supposed that they should have received more; and they likewise received every man a penny.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"watu wawili walikuwa wamemkopa mtu fedha: mmoja alikuwa amekopa dinari mia tano, na mwingine hamsini.

English

there was a certain creditor which had two debtors: the one owed five hundred pence, and the other fifty.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

na miongoni mwa watu wa kitabu yupo ambaye ukimpa amana ya mrundi wa mali atakurudishia, na miongoni mwao yupo ambaye ukimpa amana ya dinari moja hakurudishii isipo kuwa ukimsimamia kumdai.

English

among the people of the book is he who if you entrust him with a quintal will repay it to you, and among them is he who, if you entrust him with a dinar will not repay it to you unless you stand persistently over him.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kipande cha video kilichogharimu takribani kiasi cha dinari 250 za tunisia, karibu kiasi cha dola 250 za marekani, inawachora watu wa daraja la chini kabisa nchini tunisia na namna wanavyoendesha maisha yao.

English

the video clip which only cost 250 dinars (around 150 usd) to produce, depicts residents of a disadvantaged neighborhood as they go through their daily lives.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kesho yake akatoa fedha dinari mbili akampa yule mwenye nyumba, akamwambia, muuguze mtu huyu; na chochote utakachotumia zaidi, nitakulipa nitakaporudi."

English

and on the morrow when he departed, he took out two pence, and gave them to the host, and said unto him, take care of him; and whatsoever thou spendest more, when i come again, i will repay thee.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

na miongoni mwa watu wa kitabu yupo ambaye ukimpa amana ya mrundi wa mali atakurudishia, na miongoni mwao yupo ambaye ukimpa amana ya dinari moja hakurudishii isipo kuwa ukimsimamia kumdai. haya ni kwa kuwa wakisema: hatuna lawama kwa ajili ya hawa wasio jua kusoma.

English

among the people given the book(s) is one who, if you trust him with a heap of treasure, will return it to you; and among them is one who, if you trust him with (just) one coin, will not return it to you unless you constantly stand over him (keep demanding); that is because they say, “we are not obliged in any way, in the case of illiterates”; and they purposely fabricate lies against allah.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mnamo mei 30, mahakama ilimtoza amina faini ya dinari 300 za tunisia (150 euro) kwa "kumiliki kifaa hatari kisichoruhusiwa" -kemikali za kupulizia.

English

on may 30, a court fined amina 300 tunisian dinars (150 euros) over the "non-authorized possession of an incendiary object" — pepper spray.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,783,223,841 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK