From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
wanawake wanne kutoka jamii ya tatar husafiri kila juma kutoka katika kijiji chao kwenda syzran ili kutafuta fedha za kujikimu.
four ethnic tatar women commute weekly from their village to syzran to earn some money.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mimi paulo, mtumishi wa mungu na mtume wa yesu kristo naandika. mimi nimechaguliwa kuijenga imani ya wateule wa mungu na kuwaongoza waufahamu ukweli wa dini yetu,
paul, a servant of god, and an apostle of jesus christ, according to the faith of god's elect, and the acknowledging of the truth which is after godliness;
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
wananifahamu kwa muda mrefu, na wanaweza kushuhudia, kama wakipenda, kwamba tangu mwanzo niliishi kama mmoja wa kikundi chenye siasa kali zaidi katika dini yetu, yaani kikundi cha mafarisayo.
which knew me from the beginning, if they would testify, that after the most straitest sect of our religion i lived a pharisee.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
hakuna mashaka yoyote juu ya ukuu wa siri ya dini yetu: alionekana katika umbo la kibinadamu alithibitishwa na roho kuwa ni mwadilifu, akaonekana na malaika. alihubiriwa kati ya mataifa, aliaminiwa popote ulimwenguni, akachukuliwa juu mbinguni katika utukufu.
and without controversy great is the mystery of godliness: god was manifest in the flesh, justified in the spirit, seen of angels, preached unto the gentiles, believed on in the world, received up into glory.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.