Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
imechorwa na federico boyd sulapas dominguez.
artwork by federico boyd sulapas dominguez.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
federico boyd sulapas dominguez alipakia mchoro huu wakati wa kuelelekea kwenye kongamano la ushirika wa kiuchumi la asia-pacific linalotarajiwa kufanyika nchini ufilipino.
federico boyd sulapas dominguez uploaded this painting in time for the asia-pacific economic cooperation summit which will be held in the philippines.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa kipindi cha miaka 40 iliyopita, msanii wa kifilipino federico boyd sulapas dominguez amekuwa akiandaa picha zinazoonesha harakati za wazawa katika kukomesha uchimbaji madini wa uharibifu, utafutaji maendeleo usiojali haki, pamoja na matumizi ya nguvu za kijeshi.
over the past 40 years, filipino artist federico boyd sulapas dominguez has been painting the efforts of indigenous peoples to combat destructive mining, development aggression, and militarization.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: