From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
picha imechukuliwa kwenye ukurasa wa facebook wa #ebolafreegambia.
image source: #ebolafreegambia facebook page.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
nembo la kampeni ya #ebolafreegambia inayolenga kuelimisha watu kukabiliana na maradhi ya ebola.
the logo of #ebolafreegambia campaign.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
wizara ya afya na ustawi wa jamii jijini banjul tayari imeanzisha laini ya simu inayopatikana masaa 24 kupitia mitandao yote nchini humo. kampeni ya #ebolafreegambia inatofautiana na jitihada nyingine zinazochukuliwa na wizara ya afya zinazolenga kuwaelimisha wa-gambia.
the ministry of health and social welfare in banjul has already established a 24-hour information hotline from any network within the country. #ebolafreegambia campaign is different from the efforts by the ministry of health to sensitize gambians.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: