Results for echo translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

erenko akatimuliwa kazi ndani ya saa moja, akama inavyoandikwa na echo of perm (ofisi ya mikoani ya echo moskvy).

English

erenko was fired within the hour, reports echo of perm (a local office of echo moskvy).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

washiriki wa mazungumzo yetu hayo ya mtandaoni walikuwa ni pamoja na mwandishi wa gv syria, leila nachawati, mwanzilishi wa syria untold, mradi wa kupashana habari mtandaoni uliojikita kwenye mapinduzi ya amani yanayofanywa na wananchi wa syria; mhariri wetu wa runet echo kevin rothrock aliyezungumza kuhusu putin na mc cain opeds na namna wanavyotazamwa na mitandao ya urusi; amira al hussaini, mhariri wetu wa mashariki ya kati na afrika kaskazini, aliyegusia habari zilizikuwa zinaandikwa na vyombo vya habari vya kiraia na vyombo vikuu vya habari ndani ya mashariki ya kati na afrika kaskazini; solana larsen, mhariri mtendaji alizungumzia kuhusu wajibu wa vyombo vya habari vya kiraia katika taswira inayojengwa na vyombo vikuu vya habari kuhusu syria, ellery biddle mhariri wa utetezi aliyezungumza namna wito wa kuiomba marekani kuingilia kati mgogoro huo inavyotafsiriwa na raia wa marekani mtandaoni na ivan sigal mkurugenzi mtendaji aliyetoa maoni yake kuhusu namna habari za syria zinavyoumbwa kuwa vile zilivyo duniani kote.

English

our hangout participants included gv syria author, leila nachawati, founder of syria untold, an online storytelling project dedicated to the non-violent syrian uprising; our runet echo editor kevin rothrock who spoke about the putin and mc cain opeds and how they were perceived by the russian internet; amira al hussaini, our mena editor, touched on citizen media and mainstream media coverage of syria within the middle east and north africa; solana larsen, our managing editor spoke about the role of citizen media in mainstream portrayal of syria, ellery biddle our advocacy editor spoke about how the calls for us intervention are being interpreted by us netizens, and ivan sigal our executive director gave his opinion on why syrian coverage is being shaped the way it is around the world.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,642,961,316 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK