From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
badala yake, analalamika kwenye akaunti yake ya twita iliyothibitishwa @egypresidency.
instead, he is ranting on twitter on his verified twitter account @egypresidency.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
@egypresidency: rais morsy anamsihi kila mtu kutunza amani na kuepuka kumwaga damu ya mwananchi mwenzake.
@egypresidency: pres. morsy urges everyone to adhere to peacefulness and avoid shedding blood of fellow countrymen.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
@egypresidency: rais mosry anawasihi wananchi na wanajeshi kuheshimu sheria na katiba na kutokukubali mapinduzi haya yanayoirudisha #misri nyuma
@egypresidency: pres. morsy urges civilians and military members to uphold the law & the constitution not to accept that coup which turns #egypt backwards
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
@egypresidency: rais morsy: tangazo la jeshi linakataliwa na watu wote walio huru waliojitahidi kuleta demokrasia ya kiraia nchini misri.
@egypresidency: pres. morsy: armed forces announcement is rejected by all free men who struggled for a civil democratic egypt.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
@egypresidency: rais morsy: hatua zilizotangazwa na uongozi wa jeshi zinamaanisha mapinduzi kamili ya kijeshi yasiyokubalika na watu wote walio huru katika taifa letu
@egypresidency: pres. morsy: measures announced by armed forces leadership represent a full coup categorically rejected by all the free men of our nation
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: