From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
u win swe, ambaye ni rais wa chama cha jiolojia cha myanmar, aliliambia weekly eleven:
u win swe, president of myanmar geological society, said to weekly eleven:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
katika taarifa hiyohiyo ya weekly eleven, mfanyakazi wa kutoa misaada alieleza hali ilivyokuwa kule tarle:
in the same report by weekly eleven, an aid worker described the situation in tarle:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa mujibu wa taarifa za hivi karibuni kutoka weekly eleven, kumekuwepo na matetemeko mengine madogomadogo yaliyofuatia na kuripotiwa mashariki mwa jimbo la shan na kusababisha hofu miongoni wa wakazi wa maeneo hayo.
according to an updated report from weekly eleven, several aftershocks have been recorded in areas near the eastern shan state spreading fear among the residents.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa mujibu wa eleven media, watu 6 walifariki na wengine 12 walikimbizwa hospitalini kutoka na majeraha waliyoyapata wakati wa mashambulizi makali yaliyotokea kati ya mei 30 na juni 8 dhidi ya raia wa mynamar wanaoishi nchini malasia.
according to eleven media, 6 died and 12 were hospitalized with injuries during the violent attacks against myanmar nationals in malaysia from may 30 to june 8.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
watoa maoni waliokodishwa, wanahamasisha vurugu kati ya rais thein sein na makamu mkuu wa majeshi min aung hlaing kwa kuandika maoni ya kejeli mwishoni mwa makala katika majarida ya eleven media, the voice weekly na 7 days news journal.
hired comment writers, lobbying the fight between the president thein sein and vice-senior general min aung hlaing by writing hate comments under the posts of the eleven media, the voice weekly and 7 days news journal.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: