From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kulingana na ufahamu wa baadhi ya wenzetu walio nyc, tumekuwa pia tukijadiliana kuhusu kupangisha eneo lililo brooklyn.
as some of our nyc-based colleagues know, we have also been in discussion about leasing a location in brooklyn.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
watu wana wasiwasi kuwa mradi huu unaweza kuibukia sehemu nyingine yoyote, karibu na eneo lililo na idadi kubwa ya watu la delta ya mto pearl, kusini mwa china.
they worry the project may simply prop up somewhere else, near the highly populated pear river delta in southern china.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ubalozi wa marekani ulienda mbali pale walipomuhusisha saeed na tuhuma za kujihusisha na mashambulizi ya mumbai na pia kuliita shirika lake jud kuwa ni shirika lililo na mrengo wa kigaidi.
the us embassy went as far as calling saeed a suspect for his involvement in mumbai attacks and also labelling his organization jud as a ‘designated terrorist’ organization.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hili ni tatizo kubwa sana katika afya ya jamii lililo na madhara makubwa kwa watu wanaohitaji msaaada wa haraka katika eneo lililo na kiwango cha ongezeko la ugonjwa huu kwa asilimia 20 na ambapo kwa kila mtoto mmoja kati ya watoto watano walio na anemia huwa katika hatari ya kupoteza maisha baada ya kufikisha miaka mitano.
this is a critical public health problem that has a dramatic impact on the neediest inhabitants in a region with nearly a 20 percent disease rate and where one out of five children with major sickle-cell anemia is not likely to survive past the age of five.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ikiwa kundi la abiria linaunganisha safari zao kutoka eneo ambalo lina mlipuko mkali, wahudumu wa ndege wanaweza kuwaweka mbali na abiria wengine (na ikiwa ulikuwa katika eneo lililo na hatari kubwa hivi majuzi, fikiria kuwaeleza wahudumu wa ndege kwa sababu hii).
if a group of passengers is connecting from an area with a severe outbreak, the flight attendants may be able to seat them away from the rest of the passengers (and if you were recently in a high-risk area, consider telling the flight attendants for this reason).
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
kayhan, gazeti lililo na uhusiano na kiongozi mkuu wa kidini, ayatollah khamenei, katika ukurasa wake wa mbele lilichapisha picha ya kijana wa yemen wa kihouthi akiwa amekalia kitu ambacho kilionekana kama mabaki ya roketi yaliyotokana na mashambuli ya anga ya ndege za kivita za saudi arabia dhidi ya wapiganaji wa houthi.
kayhan, a newspaper associated with supreme leader ayatollah khamenei's office, published their frontpage with the photo of a young houthi yemeni boy sitting on what seems to be rocket that remains from the saudi arabian airstrikes against houthi fighters.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
nacla, lililoanzishwa mwaka 1966, ni shirika huru, lisilo la kimaslahi lililo na lengo la “kuendeleza maarifa bila mipaka” kwa njia ya kutoa taarifa na uchambuzi kuhusu latini amerika pamoja na hali tete ya ushirikiano kati yake na marekani:
nacla, founded in 1966, is an independent, nonprofit organization that seeks to “foster knowledge beyond borders” by providing information and analysis on latin america and its complex relationship with the united states:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.