Results for falme translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

falme

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

taarifa za vyombo vya habari zinaichukulia idadi hii kuwa ni kubwa kabisa katika historia ya falme za ghuba ndogo.

English

media outlets considered this number to be the biggest in the small gulf emirate's history.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

anthony permal ambaye ni mpakistani mwenye asili ya falme za kiarabu aliwafanya watumiaji wa twita kuipa uzito sana habari hii:

English

anthony permal a pakistani christian based in the uae brought tweeter users attention to this story:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa hiyo mimi sioni kama kuanzishwa kwa hoteli hii maalumu kwa wanawake kuwa ni hatua ya kurudi nyuma asilani bali chaguo jema kwa wanawake kuwa nalo ndani ya falme.

English

so to me, i do not see a women’s only hotel as a step backward at all but another nice option to have for women in the kingdom.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"nitakupa uwezo juu ya falme zote hizi na fahari zake, kwa maana nimepewa hivi vyote; nikitaka kumpa mtu ninaweza.

English

and the devil said unto him, all this power will i give thee, and the glory of them: for that is delivered unto me; and to whomsoever i will i give it.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

moussa, ambaye ni ripota wa kituo cha televisheni za kiarabu al aan tv, kilichopo jijini dubai, jamhuri ya falme za kiarabu, anasema:

English

moussa, who is a roving reporter for arabic al aan tv, dubai, uae, observes:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hotuba hiyo ilikuja baada ya miito, maandamano madogo kudai mageuzi katika falme hiyo, ambapo viongozi wa dini hapo wali waliwaasa wasaudia kutodandia wimbi la maandamano ya upinzani linaloikumba kanda hiyo kwani maandamanio ya namna hiyo ndani ya saudi arabia ni kinyume na dini.

English

the speech comes following calls, and small protests, for reforms in the kingdom, where clergymen earlier urged saudis not to ride the protest wave engulfing the region as such protests in saudi arabia were against religion.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hamed vilevile ndiye aliyebuni na kutengeneza "access flickr", kiperuzi cha mtandao wa intaneti ambacho huvuka vikwazo vyote vinavyochuja habari za picha katika mtandao wa ubadilishanaji picha wa flickr katika nchi za irani, muungano wa falme za kiarabu, saudi arabia, china na kwingineko ambako mtandao huo umepigwa marufuku.

English

hamed is also the developer of "access flickr", a firefox internet browser extension that bypasses filters on the photo-sharing website flickr in iran, united arab emirates, saudi arabia, china and other locations where it is banned.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,799,700,693 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK