Results for garcía translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

hamlet garcía almaguer (@hamletgar) ameandika katika blogu ya letrajoven :

English

hamlet garcía almaguer (@hamletgar) blogged in letrajoven :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jina lake ni marisol valles garcía na amepewa jina la mwanamke jasiri kuliko wote nchini mexico" .

English

this post is part of our special coverage mexico's drug war. her name is marisol valles garcía and she has been called the "bravest woman in mexico" .

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

cristhian garcía, mwanablogu wa mexico mwenye umri wa miaka 21 ametoa maoni yake juu ya suala hilo:

English

cristhian garcía, a 21-year-old mexican blogger, commented on the subject:

Last Update: 2023-09-22
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kinyume na kile washirika wetu wanavyodhani, nimeamua kufikiri kwamba tukio hili la kihistoria halijatokea kwa nguvu za gavana alejandro garcía padilla.

English

contrary to what our allies may think, i've decided to think that this historic moment does not come to us courtesy of governor alejandro garcía padilla.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika blogu ya crónicas, santos garcía zapata anaeleza muktadha kuhusu uamuzi wa rais wa kuanzisha mazungumzo ya amani na makundi ya waasi.

English

in the blog crónicas, santos garcía zapata explains the context around the presidential decision to start peace talks with guerrilla groups.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mgombea pekee aliyejitokeza kuliongoza jeshi la ulinzi wa jamii alikuwa marisol valles garcía, mwanafunzi wa miaka 20 anayesomea elimu ya makosa ya jinai na uhalifu.

English

the only candidate to step forward to command the public security force was marisol valles garcía, a twenty-year old criminology student.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwisho, katika blogu ya hermosillo kupitia periodista digital , tukio hili limeandikwa na valles garcía ametajwa kuwa ni mtu wa kujivunia sana katika eneo lake:

English

finally, in the blog hermosillo at periodista digital , the case is addressed and valles garcía is mentioned as someone her region is proud of:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika publimetro , camilo andrés garcía cortés anasema kuwa video hii yaweza kuwa inafanya historia kwa kuwa video iliyotazamwa mara mengi zaidi nchini colombia, kwa sababu ishapata kutazamwa mara laki tano baada ya masiku mawili tu.

English

on publimetro , camilo andrés garcía cortés states that the video may be making history as the most watched colombian citizen video, due to its half a million views during only two days.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,934,694,534 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK