Results for gauni translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

gauni

English

dress

Last Update: 2013-10-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

baada ya muda wa kuosha mikono ikukamilika, mikono hupanguswa kwa nguo iliyofishwa vimelea na gauni ya upasuaji kuvaliwa.

English

after hand-washing is completed, the hands are dried with a sterile cloth and a surgical gown is donned.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

wanawake katika jiji la jeddah huvaa gauni lijulikanalo kama "abaya", gauni hili hupaswa kuvaliwa juu ya mavazi mengine hivyo vaa nguo nyepesi za ndani haswa wakati wa majira ya kiangazi.

English

women in jeddah are dressed in an outside gown called “abaya”, it supposed to be worn over clothes so dress lightly beneath it especially in the summer.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

baadhi ya wanafunzi wa uchina katika vyuo vikuu marekani waliungana kusaidia kutuma msaada katika sehemu zilizoathiriwa na virusi uchina, na kikundi ya pamoja katika sehemu kadhaa chicago inasemekana waliweza kutuma barakoa 50,000 za n95 kwa hospitali katika mkoa wa hubei mnamo 30 januari.shirika la msaada wa kibinadamu direct relief, wakishirikiana na fedex, walituma barakoa za uso 200,000 pamoja na vifaa za kujikinga za kibinafsi, zikiwemo glavu na gauni, kupitia ndege ya dharura hadi kwenye hospitali ya muungano wa wuhan kufikia 30 januari.

English

some chinese students at american universities joined together to help send aid to virus-stricken parts of china, with a joint group in the greater chicago area reportedly managing to send 50,000 n95 masks to hospitals in the hubei province on 30 january.the humanitarian aid organization direct relief, in coordination with fedex, sent 200,000 face masks along with other personal protective equipment, including gloves and gowns, by emergency airlift to the wuhan union hospital by 30 january.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
8,644,279,863 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK