From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
jiko la gesi
stove
Last Update: 2025-03-09
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
naweza kurudia tena? asilia 80.
shall i repeat that? 80%.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kuisha kwa gesi
kuisha kwa gesi
Last Update: 2021-04-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
maadili na maadili katika muktadha wa elimu asilia ya afrika
morality and ethics in the context of indigenous african education
Last Update: 2024-12-01
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mahala asilia pa faili kabla ya kuhamishiwa kwenye pipa-taka
original location of file before moved to the trash
Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:
Reference:
katika hali hii, mbebaji wa kati anakuwa mbebaji asilia anayehifadhi virusi.
in this case, the intermediate host becomes a natural reservoir host.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kituo cha gesi inayotokana na samadi.
a biogas plant.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa sababu tu mimi nilisimama na bango la kutoa wito kwa knesset kusikiliza zaidi maoni ya watu kuhusu kuuzwa kwa gesi asilia nje ya nchi...
simply because i stood with a sign calling the knesset to hold hearings regarding the export of natural gas....
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nepal: mapinduzi ya gesi inayotokana na samadi
nepal: bio-gas revolution · global voices
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hakuna umeme, kuna dawa kidogo, hakuna gesi.
no lights, little medicine, no gas.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
uwepo wa viumbe hai wengi tofauti umeiwezesha guatemala kusimama kati ya nchi 25 zenye aina nyingi zaidi za hifadhi asilia duniani.
biological diversity has enabled guatemala to stand among the 25 countries with the most variety of natural resources in the world.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mategemeo katika uvunaji wa gesi nchini tanzania yanaongezeka kwa kasi kubwa.
but expectations surrounding gas exploration in tanzania are soaringly high.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
blogu hiyo inakusudia kutangaza vyema sura sahihi ya somalia kwenye vyombo vya habari na vipaji vya watu wake, masuala ya urembo na raslimali asilia.
the blog aims at promoting a more accurate media image of somalia and the potential of its people, beauty and natural resources.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
"uzalishaji wa gesi inayotokana na samadi hauna teknolojia ya hali ya juu.
"biogas production is not high technology.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
kama una utajiri wa kutosha kukaribia kununua utajiri wa gesi asilia ya taifa hilo, unaweza kumkodisha j-lo, lakini hata kama huna utajiri huo basi angalau mwimbaji utakayempata awe na uwezo wa kuwasisimua waalikwa wako.
if you have near-exclusive access to the country's national gas wealth, you can hire j-lo, but even if you don't your crooner has to get the people up and on their feet.
Last Update: 2023-11-07
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
baadhi yao wanaweza kuwa hawana elimu hivyo kushindwa kuelewa muundo na mfumo wa uzazi, na hivyo kushindwa kuelewa juu ya njia asilia za uzazi wa mpango.”
some might be uneducated to understand the anatomy of reproduction and thus fail to grasp natural birth control methods."
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting