From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
wanaharakati wakiandamana nje ya jumba la sanaa la kichina na ghala la idara ya vito oktoba 4.
activists demonstrated outside the chinese arts and crafts department store on october 4.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mwitiko wa sasa wa janga la chakula, hata hivyo, unaonekana kuwa na kasi kubwa zaidi kuliko ilivyokuwa mwaka 2005.
the current response to the food crisis, however, seems to be speedier than in 2005.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mpango wa kimataifa wa chakula wa umoja wa mataifa (wfp) umeamua kuongeza hatua za dharura wanablogu nchini naija wanatafakari janga jingine la chakula baada ya lile la mwaka 2005, baa la njaa la mwaka huu ambalo ni matokeo ya upungufu wa mvua mwaka jana.
the united nations world food programme (wfp) has decided to scale up emergency operations to protect the population at risk. bloggers in niger reflect on yet another food crisis after the one in 2005, a food crisis this year that is the result of shortage of rainfall last year.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.