Results for guardian translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

hili limethibitishwa na ofisi ya phe ya caldicott guardian.

English

this has been confirmed by phe’s caldicott guardian’s office.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jarida la the guardian linatoa habari za mpya kadiri zinavyojitokeza kuhusiana na janga hilo.

English

the guardian is posting live updates on the disaster.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mradi wa katine unaoendeshwa na guardian and observer unafanya kazi kubadilisha hali hiyo katika kijiji kimoja.

English

for one village, the guardian and observer's katine project is working to change that.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

miriam elder wa gazeti la the guardian alizungumzia kuhusu taasisi hiyo ya mahabusu mnamo tarehe 16 oktoba, 2011:

English

the guardian's miriam elder described the detention facility on october 16, 2011:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa mujibu wa gazeti la the guardian, ndege hiyo ilipoteza mawasiliano na kifaa cha kuongozea ndege ikiwa kwenye anga la vietnam.

English

according to the guardian newspaper, the aircraft lost radar contact in vietnamese airspace.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

the guardian pia lilitaarifu kuwa vyombo vya habari vya uturuki viliwakariri maofisa wa polisi walioelezea kuwa dhkp-c ndio waliohusika kwenye shambulio hilo.

English

the guardian also reported that turkish news agencies were quoting police sources as saying dhkp-c was behind the attack.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

blogu ya maendeleo ya kidunia inayoendeshwa na jarida la uingereza la the guardian inaendelea kuandika habari za kugawa ardhi baada ya kuwekwa wazi kwa taarifa kuu za umma zinazohusu mgawanyo wa ardhi mwezi aprili.

English

the global development blog of the guardian's (uk) continues its coverage of land deals after the release of the largest public database on international land deals in april.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wasomi wa uingereza wameandika barua ya wazi, iliyochapwa kwenye gazeti la guardian, inayoitisha ususiaji, kuondoa vitega uchumi, na migomo:

English

british academics have written an open letter, published in the guardian, calling for boycott, divestment, and sanctions:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

akimkosoa museveni, charles onyango obbo, mhariri wa mail & guardian africa, alimfananisha museveni na kiongozi wa waasi wa lords resistance army joseph kony:

English

in his criticism of museveni, charles onyango obbo, mail & guardian africa editor, compared museveni to lords resistance army leader joseph kony:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mwandishi na mhariri wa zamani wa mashariki ya kati kwa jarida la the guardian brian whitaker (@brian_whit) alitwiti kiungo cha makala aliyokuwa ametoka kuiandika:

English

journalist and former middle east editor for the guardian newspaper brian whitaker (@brian_whit) tweeted a link to his latest post:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

roketi nyingi zinazoingia israeli hazijasababisha madhara makubwa, kwa sababu, kwa kiasi fulani, ya mfumo wa anga wa ulinzi unaofadhiliwa na marekani, ambao umezuia makombora yapatayo 70 mpaka sasa, kwa mujibu wa gazeti la the guardian.

English

most of the rockets coming into israel have caused no serious damage, due in part to the us-funded iron dome aerial defense system, which has intercepted at least 70 projectiles so far, according to the guardian.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

akiandika katika jarida la guardian, simon burnton alitegemea kwamba “huenda afrika kusini ingejifunza kutoka kwenye yale manyanga ya mbao yaliyotumbuiza kandanda la uingereza katika kipindi cha baada ya vita –na yaliyopoteza umaarufu wakati kila mmoja alivyogundua jinsi yanavyokera. natumaini kuwa siku hivi karibuni hatima mthili ya hiyo itayafikia haya mavuvuzela.”

English

writing in the guardian, simon burnton hoped that “perhaps south africa can learn from the loud wooden rattles that soundtracked british football in the post-war era – and fell out of favour when everyone realised just how annoying they were. i can only hope that one day soon a similar fate will befall the vuvuzelas.”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,886,252,190 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK