From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
habari mawasiliano na uhusiano
teknolojia ya habari na mawasiliano
Last Update: 2022-04-26
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mawasiliano na jamii
communication and society
Last Update: 2018-11-17
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
palestina: mawasiliano na gaza
palestine: communicating with gaza · global voices
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kuanguka kwa muda mfupi kwa mawasiliano na usafiri kulifuata.
temporary information and transportation collapse followed.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
programu hiyo ilitengenezwa na wizara ya mawasiliano na teknolojia na wiraza ya afya.
the app was developed by the ministry of communication and technology and ministry of health.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
alaa anaamini katika nguvu ya mawasiliano na kwa hivyo, leo, ni lazima tufanye hivyo.
alaa believes in the power of communication and so, today, should we. — omar robert hamilton (@orhamilton) october 26, 2015
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mpito ulikuwa mzuri, na uhusiano kati ya marais rawlings na mills, ulionekana kuwa mzuri.
the transition was smooth, and the relationship between presidents rawlings and mills, seemed cordial.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hata hivyo, kuna mradi wa mtandaoni unaosaidia kupata mawasiliano na watu hawa ambao kiujumla wanatambulika kama wahamiaji.
however, there is an online project that helps to establish contact with these people who are generically labelled as migrants.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
maria sarungi tsehai, mtaalam wa mawasiliano na muasisi wa taasisi ya change tanzania , aliuliza:
maria sarungi tsehai, a communications expert and founder of the organisation change tanzania, asked:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
karibu wote ndugu zangu kusudi la group ni kufaamiana kama ndugu kwa upande wa malonza na kama unayo mawasiliano na wengine just waunganishe
my brothers i love them so much
Last Update: 2023-01-07
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa mujibu wa gazeti la the guardian, ndege hiyo ilipoteza mawasiliano na kifaa cha kuongozea ndege ikiwa kwenye anga la vietnam.
according to the guardian newspaper, the aircraft lost radar contact in vietnamese airspace.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
"kama kuna yeyote anayetakiwa kuelewa thamani ya uhuru wa kujieleza, naibu mkurugenzi wa mawasiliano na utetezi kule licadho ndiye anayepaswa kuwa.
"if anyone should understand the value of free speech, the deputy director of communication and advocacy at licadho seems a likely candidate.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
kutoka kuwapa wakimbizi upatikanaji wa habari juu ya afya na fursa za elimu mpaka utumiaji wa facebook, maongezi kwa ktumia gmail na skype ili kudumisha mawasiliano na wanafamilia na marafiki kuvuka mipaka ya kijiografia, toleo hili limetoa picha kamili ya jinsi gani tknohama inavyotumika.
from providing refugees with access to information on health and educational opportunities to using facebook, gmail chat and skype to maintain connections with family members and friends across geographical divides, the issue provides a comprehensive overview of how icts are being used.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
blogu ya racism review ililichachafya suala la bardwell “ kujali watoto” kwa ushahidi wa watoto waliotakana na uhusiano wa rangi tofauti:
the blog racism review countered bardwell's "concern for the children" with evidence on children of interracial relationships:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
asisa ambaye ni mwanachama wa walinzi wa amani wa amasom nchini somalia alipatiaka na hatia ya kujuhusisha na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke wa kisomali aitwaye nimco omar na kumpa ujauzito baada ya kumuoa kwa kumdanganya kuwa alikuwa mwislamu.
mr. asisa who is a member of the amasom peace-keepers in somalia have been found guilty for engaging in an affair with a young somali woman by the name of nimco omar and impregnating her after marrying her under a false pretence by telling her that he was a muslim.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
"natumaini kwamba mkondo huu utakuwa ni mkondo wa mawasiliano na daraja kati ya mashariki na magharibi, kwa sababu ninaamini kwamba dunia yetu inahitaji hili."
“i hope that this channel becomes a channel for communication and a bridge between the east and west, because i firmly believe our world is in dire need for this”.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
uhusiano kati ya serikali ya rais museveni na ufalme wa buganda uko mbali na (uhusiano) waridi na hilo limekwishatoa mazingira yenye rutuba kwa wengi kufikiria kuwa kulikuwa na mchezo wa dhambi.
this relationship between president museveni’s government and buganda kingdom is far from rosy and this has already given fertile ground for many to think there was some foulplay.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ali akbar javanfekr, mshauri wa rais ahmadijad katika masuala ya mawasiliano na vyombo vya habari, anasema kwamba wizara ya sayansi itoe uamuzi kuhusu shahada ya udaktari ya kordan na anapendekeza kwamba tusiingize au kuhusisha katika siasa mtazamo na maoni binafsi kuhusu suala hili.
ali akbar javanfekr, ahmadinejad's media adviser, says the ministry of sciences should take a decision about kordan's ph.d. and suggests it would be better we not to involve personal political opinions on the issue.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
lengo kuu la kampeni hii ni kusambaza ujumbe rahisi wa mwaka mpya katika nchi zote mbili kupitia njia zote za mawasiliano na kuhusisha pia asasi zisizo za serikali (azise) na raia wa kawaida katika kutakiana heri ya mwaka mpya.
the main goal of this campaign is to spread a simple new year's message in both countries through all channels of communication, and involve ngos and ordinary citizens in saying happy new year to each other.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kayhan, gazeti lililo na uhusiano na kiongozi mkuu wa kidini, ayatollah khamenei, katika ukurasa wake wa mbele lilichapisha picha ya kijana wa yemen wa kihouthi akiwa amekalia kitu ambacho kilionekana kama mabaki ya roketi yaliyotokana na mashambuli ya anga ya ndege za kivita za saudi arabia dhidi ya wapiganaji wa houthi.
kayhan, a newspaper associated with supreme leader ayatollah khamenei's office, published their frontpage with the photo of a young houthi yemeni boy sitting on what seems to be rocket that remains from the saudi arabian airstrikes against houthi fighters.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: