From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kuwalaani wengine haikubaliki na kumpiga yeyote anayepinga hilo haifai.
cursing others is unacceptable and beating up whoever objects to that is vile.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
tofauti za kisiasa zapaswa kuwa kwa amani, na kuchagua matumizi ya nguvu, kwa namna yoyote, haikubaliki
political differences should be peaceful, and resorting to violence and excusing it, by any side, is unacceptable
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kama serikali ikisema kutokana na sababu moja au nyingine kwamba filamu kwa mfano, haikubaliki na haitakiwi, wengi wa watu, kama sio wote, wasingeweza kuiona.
if the government says for a reason or another that a film for example is unacceptable and not wanted, the majority of the population, if not all, will not get to see it.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini kama ebola haikubaliki kama anavyosema dk chan, vipi kuhusu kutafuta fedha za kuwalipa hawa jamaa kutumia muda wa ziada ili habari za ebola ziendelee kutangazwa hata muda wa wikiendi (bila kutaja siku za mapumziko)?
but if ebola is as unprecedented as dr. chan says it is, how about finding the money to pay those folks overtime so ebola news carries on over the weekend (not to mention statutory holidays)?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
miongoni mwa mapendekeo hayo kulikuwa na kipengele cha kuweka utambulisho wa kijinsia na hali ya afya ya ukimwi kama sababu ambayo haikubaliki kwa binadamu kubaguliwa katika mazingira ya kazi, haki inayoangukia kwenye kanuni za msingi zinazoongoza haki za kazi, kwenye sehemu b, ibara ya 2 ya waraka huo wakisheria.
amongst those suggestions were the inclusion of gender identity and hiv status as motives for which it is never admisible for a human being to be discriminated against in a work environment, which fall within the fundamental principles that govern our labor rights, in section b, article 2 of that legal document.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: