From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
hakika.
indeed.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hakika nakupenda
i know that i love you
Last Update: 2024-01-20
Usage Frequency: 1
Quality:
hakika tutaamini.
indeed we have believed!’
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
na sisi hakika tunajua kwamba wanasema: yuko mtu anaye mfundisha.
and assuredly we know that they say: it is only a human being who teachech him.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
mwisho wake, ukizingatia ghasia zote hizi, sina hakika kwamba wataendelea kujitokeza.
in the end, with all of the violence, i am not sure that they will show up.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
na sisi tuko thabiti mbele ya mungu kwani tuna hakika kwamba tukimwomba chochote kadiri ya mapenzi yake, yeye hutusikiliza.
and this is the confidence that we have in him, that, if we ask any thing according to his will, he heareth us:
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
hivyo ndivyo tuwezavyo kuwa na hakika kwamba sisi ni watu wa ukweli; na hatutakuwa na wasiwasi mbele ya mungu.
and hereby we know that we are of the truth, and shall assure our hearts before him.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
kwamba hakika bila ya shaka hii ni kauli ya mjumbe mtukufu,
[that] indeed, the qur'an is a word [conveyed by] a noble messenger
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
haikufunuliwa kwangu isipo kuwa ya kwamba hakika mimi ni mwonyaji dhaahiri.
only this has been revealed to me that i am a distinct warner.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
na kwamba hakika yeye ndiye mola mlezi wa nyota ya shii'ra.
and that it is he who is the lord of sirius
Last Update: 2023-06-24
Usage Frequency: 4
Quality:
ya kwamba hakika nafsi iliyo beba madhambi haibebi madhambi ya mwengine?
certainly no one will bear the responsibility of the sins of another,
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini mtu yeyote anayeshika neno la mungu, huyo ndiye aliye na upendo kamili wa mungu ndani yake. hivi ndivyo tunavyoweza kuwa na hakika kwamba tunaungana naye:
but whoso keepeth his word, in him verily is the love of god perfected: hereby know we that we are in him.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
na ujue kwamba hakika mwenyezi mungu ni mtukufu mwenye nguvu, na mwenye hikima.
(prophet ibrahim called the dead birds and they did come running towards him.)
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
akasema: je! sikukwambia kwamba hakika wewe huwezi kuvumilia kuwa pamoja nami?
he said, “did i not tell you that you will never be able to patiently stay with me?”
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
ndiyo maana niliwaandikia--sikutaka kuja kwenu na kuhuzunishwa na ninyi ambao ndio mngepaswa kuwa furaha yangu. nina hakika kwamba, mimi nikifurahi, ninyi nyote pia mnafurahi.
and i wrote this same unto you, lest, when i came, i should have sorrow from them of whom i ought to rejoice; having confidence in you all, that my joy is the joy of you all.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
hapo ndipo petro alipotambua yaliyotukia, akasema, "sasa najua kwa hakika kwamba bwana amemtuma malaika wake akaniokoa kutoka katika mkono wa herode na kutoka katika mambo yale yote watu wa israeli waliyotazamia."
and when peter was come to himself, he said, now i know of a surety, that the lord hath sent his angel, and hath delivered me out of the hand of herod, and from all the expectation of the people of the jews.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
maana ninajua hakika kwamba hakuna kitu kiwezacho kututenganisha na upendo wake: wala kifo, wala uhai; wala malaika, au nguvu nyingine za mbinguni; wala yanayotokea sasa, wala yatakayotokea baadaye; wala mamlaka;
for i am persuaded, that neither death, nor life, nor angels, nor principalities, nor powers, nor things present, nor things to come,
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality: