Results for hampendi translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

nyinyi hampendi mwenyezi mungu akusameheni?

English

do you not love for god to pardon you?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

je! nyinyi hampendi mwenyezi mungu akusameheni?

English

do you not love that allah should forgive you?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na mwenyezi mungu hampendi kila anaye jivuna akajifakhirisha.

English

allah does not love the vainglorious, the boastful,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hakika mwenyezi mungu hampendi kila anaye jivuna na kujifakhirisha.

English

allah does not love the arrogant and the vainglorious.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hakika mwenyezi mungu hampendi aliye khaaini, mwenye dhambi.

English

god does not love the deceitful sinner.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nyinyi hampendi mwenyezi mungu akusameheni? na mwenyezi mungu ni mwenye kusamehe mwenye kurehemu.

English

and allah is oft forgiving, most merciful.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hakika mwenyezi mungu huwakinga walio amini. hakika mwenyezi mungu hampendi kila khaini mwingi wa kukanya mema.

English

assuredly god will defend those who believe; surely god loves not any ungrateful traitor.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ili msihuzunike kwa kilicho kupoteeni, wala msijitape kwa alicho kupeni. na mwenyezi mungu hampendi kila anaye jivuna akajifakhirisha.

English

so that you may not be saddened upon losing something, nor rejoice upon what you are given; and allah does not like any boastful, conceited person.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwenyezi mungu huiondolea baraka riba, na huzibariki sadaka. na mwenyezi mungu hampendi kila mwenye kukanya na afanyae dhambi.

English

allah deprives interest of all blessing and develops charity; and allah does not like an ungrateful, sinful person.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,920,066,972 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK