Results for haribika translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

haribika

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

na lau kuwa mwenyezi mungu hawapambanishi watu kwa watu basi dunia ingeli haribika.

English

and if allah did not check one set of people by means of another, the earth would indeed be full of mischief.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na lau kuwa haki ingeli fuata matamanio yao, basi zingeli haribika mbingu na ardhi na waliomo ndani.

English

and if the truth had been in accordance with their desires, verily, the heavens and the earth, and whosoever is therein would have been corrupted!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na lau kuwa mwenyezi mungu hawapambanishi watu kwa watu basi dunia ingeli haribika. lakini mwenyezi mungu ni mwenye fadhila juu ya walimwengu wote.

English

and did not allah check one set of people by means of another, the earth would indeed be full of mischief: but allah is full of bounty to all the worlds.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na lau kuwa haki ingeli fuata matamanio yao, basi zingeli haribika mbingu na ardhi na waliomo ndani. bali tumewaletea ukumbusho wao, nao wanajitenga mbali na ukumbusho wao.

English

and had the truth followed their desires, then indeed the heavens and the earth and all those who are in them would be destroyed; in fact we brought to them a thing in which lay their repute, so they are turned away from their own repute.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mfano wa pepo walio ahidiwa wachamngu ina mito ya maji yasiyo vunda, na mito ya maziwa isiyo haribika ladha yake, na mito ya mvinyo yenye ladha kwa wanywao, na mito ya asali iliyo safishwa.

English

(here is) a parable of the garden which the righteous are promised: in it are rivers of water incorruptible; rivers of milk of which the taste never changes; rivers of wine, a joy to those who drink; and rivers of honey pure and clear.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

--kwa idhini ya mwenyezi mungu waliwatimua, na daudi akamuuwa jaluti, na mwenyezi mungu akampa daudi ufalme na hikima, na akamfundisha aliyo yapenda. na lau kuwa mwenyezi mungu hawapambanishi watu kwa watu basi dunia ingeli haribika.

English

so they routed them by the command of allah; and dawud (david) slew jalut, and allah gave him the kingdom and wisdom, and taught him all whatever he willed; and if allah does not ward off some men by others, the earth will be destroyed, but allah is most munificent towards the entire creation.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,746,373,965 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK