Results for haswa translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

aliongeza: "sisi si chama haswa.

English

he added: "we are not a party as such.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hili ndilo haswa hatimaye lililotupelekea kuanzisha zone9.

English

this is what eventually led to us forming zone9.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

pia kumekuwepo na uporaji, haswa na baadhi ya watu wenye silaha wanaopora magari na pikipiki.

English

there has been some looting, mainly armed men stealing cars and motorbikes.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maswala ya faragha yamedokezwa, haswa kuhusu mifumo ambayo inategemea kufuatilia eneo la kijiografia la watumiaji wa programu.

English

privacy concerns have been raised, especially about systems that are based on tracking the geographical location of app users.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

asilimia kubwa ya wafanyakazi wa afya, haswa wauguzi, ni wanawake, na wana uwezekano mkubwa wa kuambukizwa virusi hivyo.

English

a higher percentage of health workers, particularly nurses, are women, and they have a higher chance of being exposed to the virus.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

daniel mclaughling alijibu makala hiyo akihoji kwamba kumaliza ukiritimba katika huduma ya umeme ndilo haswa suluhisho linaloweza kuleta matokeo yanayoeleweka:

English

daniel mclaughling reacted to his post arguing that abolishing national monopolies on electrical utilities is the only solution capable of producing results:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

inakadiriwa kuwa kuna wabrazili 5,000 waliosajiliwa nchini angola haswa wanaojishughulisha na masuala ya ujenzi, uchimbaji madini na biashara za mazao ya kilimo.

English

there are an estimated 5,000 brazilians registered in angola, mainly working for construction, mining and agribusiness companies.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

iwe ni ofisi ya uwakilishi ya dharura au ni tawi la ofisi ya kudumu, tunachokiomba kwa sasa ni kuwa ni kuiweka wazi nakala ya hati ya makubaliano, hilo ndilo haswa tunalolihitaji.

English

be it a temporary liaison office or permanent branch office, what we are asking for now is to show a copy of that mou to public, that's what we want mainly.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

haswa, virusi hivi vilipatikana kuwa na uwezo wa kugunduliwa hadi siku tatu kwenye plastiki na chuma cha pua kisichoingia kutu 304, kwa siku moja kwenye kadibodi, na hadi masaa nne kwa shaba.

English

specifically, the virus was found to be detectable for up to three days on plastic (polypropylene) and 304 stainless steel, for one day on cardboard, and for up to four hours on copper.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa sasa, kwa maoni ya mkuu wa ujumbe wa muungano nchini sudan kusini, hilda johnson, ya muhimu haswa ni nidhamu, ukamanda na udhibiti kwenye vikosi vya usalama.

English

the real issue at this juncture, as the head of the united mission in south sudan (unmiss) hilda johnson expressed, is the discipline, command and control in the security forces.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

msanii wa uchoraji kuta, rei blinky ndiye haswa mwandishi wa habari nathaniel janowitz anamhesabu kuwa ndiye "mwanzilishi" wa harakati hizi kupitia sanaa iliyoenea maeneo mbalimbali ya jiji.

English

graffiti artist rei blinky is what journalist nathaniel janowitz calls a "pioneer" for the artistic movement sweeping through the city.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

virusi vya homa ya manjano ya kipanya (mhv) ni virusi vya korona ambavyo husababisha magonjwa ya mlipuko kutoka kwa panya na vifo vya juu, haswa kwa utumbo wa panya za maabara.

English

mouse hepatitis virus (mhv) is a coronavirus that causes an epidemic murine illness with high mortality, especially among colonies of laboratory mice.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hali ya kutokuwa na maelewano imewakasirisha wengi, haswa hswa tokea kikundi cha kijeshi kilipofutwa, lashkar-e-jhangvi, waliotangaza kuhusika na mashambulizi, bado hawajakamatwa.

English

the indifference has angered many, especially since the banned militant organization, lashkar-e-jhangvi, that claimed responsibility for the attacks are yet to be apprehended.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

utafiti mwingi wa kipindi hiki ulikuwa wa umuhimu wa kudumu, sio tu kwa mt lakini pia kwa lugha za kiakili na akili ya bandia - haswa, maendeleo ya dikteta za kibinadamu na za mbinu za uchambuzi wa maumbile - na vikundi vingi vya nadharia vilitoa mchango mkubwa kwa nadharia ya lugha. . walakini, lengo la msingi la mifumo ya kujenga yenye uwezo wa kutoa tafsiri nzuri haikufikiwa. matumaini yalikuwa juu, kulikuwa na utabiri mwingi wa imminen

English

much of the research of this period was of lasting importance, not only for mt but also for computational linguistics and artificial intelligence — in particular, the development of automated dictinaries and of techniques for syntactic analysis — and many theoretical groups made significant contributions to linguistic theory. however, the basic objective of building systems capable of producing good translations was not achieved. optimism had been high, there were many predictions of imminen

Last Update: 2019-12-07
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,651,604,276 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK