From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
wala hatukuwafanya miili isiyo kula chakula, wala hawakuwa wenye kuishi milele.
and we did not create them (the messengers, with) bodies that ate not food, nor were they immortals,
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
na hatukuwafanya walinzi wa motoni ila ni malaika, wala hatukuifanya idadi yao hiyo ila kuwatatanisha walio kufuru, wapate kuwa na yakini walio pewa kitabu, na wazidi imani wale walio amini, wala wasiwe na shaka walio pewa kitabu na waumini, na wapate kusema wenye maradhi katika nyoyo zao na makafiri: mwenyezi mungu amekusudia nini kwa mfano huu?
and we have appointed none but the angels to be wardens of the fire. and their number we have made only a trial for those who disbelieve, so that those who are vouchsafed the book may be convinced, and that those who believe may increase in faith, and that those who are vouchsafed the book and the believers may not doubt, and that those in whose hearts is a disease and the infidels may say: what meaneth allah by this description!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: