Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
lakini watendaji wa wizara hawakupendezwa na maoni yaliyokuwa hasi.
but ministry officials didn’t like the negative comments.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
wakati kundi la wenyeji wa kaskazini mwa uganda, ambao waliathiriwa zaidi na uhalifu wake kony, walionyeshwa video ya invisible children katika onyesho la hadhara, hawakupendezwa na waliyoona katika video hilo, kama inavyoonekana katika video ya al jazeera english ifuatayo.
when a group of north ugandans, the main victims of kony's crimes, were showed the invisible children's video in a public screening, they were not particularly pleased with the content of the video as is seen in an al jazeera english video below.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: