Results for hekima ya suleiman translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

hekima ya suleiman

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

picha kwa hisani ya suleiman abdullahi (http://upiu.com/)

English

photo courtesy of suleiman abdullahi (http://upiu.com/)

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hata hivyo, hekima ya mungu imethibitishwa kuwa njema na wote wale wanaoikubali."

English

but wisdom is justified of all her children.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mose alifundishwa mambo yote ya hekima ya wamisri akawa mashuhuri kwa maneno na matendo.

English

and moses was learned in all the wisdom of the egyptians, and was mighty in words and in deeds.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ukarimu wake na twiti zake za hekima ya hali ya juu vilimfanya kuwa mtu ambaye ilikuwa lazima kumfuatilia.

English

his humorous and witty tweets established him as a rising literary talent to watch.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini kwa wale walioitwa, wayahudi kwa wagiriki, kristo ni nguvu ya mungu na hekima ya mungu.

English

but unto them which are called, both jews and greeks, christ the power of god, and the wisdom of god.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ndugu, mimi nilipokuja kwenu sikuwahubiria siri ya ujumbe wa mungu kwa ufasaha wa lugha, au kwa hekima ya binadamu.

English

and i, brethren, when i came to you, came not with excellency of speech or of wisdom, declaring unto you the testimony of god.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hekima ya namna hiyo haitoki juu mbinguni; hekima hiyo ni ya ulimwengu, na ya kidunia, tena ni ya kishetani.

English

this wisdom descendeth not from above, but is earthly, sensual, devilish.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kusudi, sasa kwa njia ya kanisa, wakuu na wenye enzi wa mbinguni wapate kuitambua hekima ya mungu iliyo ya namna nyingi.

English

to the intent that now unto the principalities and powers in heavenly places might be known by the church the manifold wisdom of god,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa hiyo, hekima ya mungu ilisema hivi: nitawapelekea manabii na mitume, lakini watawaua baadhi yao, na kuwatesa wengine.

English

therefore also said the wisdom of god, i will send them prophets and apostles, and some of them they shall slay and persecute:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

msijidanganye! mtu yeyote miongoni mwenu akijidhania mwenye hekima mtindo wa kidunia, heri awe mjinga kusudi apate kuwa na hekima ya kweli.

English

let no man deceive himself. if any man among you seemeth to be wise in this world, let him become a fool, that he may be wise.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

treespotter: wapendwa wote, tafadhali tumbukiza sarafu kwa ajili ya prita - tumbukiza sarafu kwa ajili ya hekima ya kiwango cha kawaida.

English

treespotter: dear all, drop a coin for prita - drop a coin for common sense.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

angalieni basi, mtu asiwapotoshe kwa udanganyifu mtupu wa hekima ya kibinadamu, ambayo chanzo chake ni mafundisho ya mapokeo ya watu na ya pepo watawala, na wala si kristo mwenyewe!

English

beware lest any man spoil you through philosophy and vain deceit, after the tradition of men, after the rudiments of the world, and not after christ.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maana kinachoonekana kuwa ni upumbavu wa mungu, kina busara zaidi kuliko hekima ya binadamu; na kinachoonekana kuwa ni udhaifu wa mungu, kina nguvu zaidi kuliko nguvu za binadamu.

English

because the foolishness of god is wiser than men; and the weakness of god is stronger than men.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maana, hekima ya kidunia ni upumbavu mbele ya mungu. kwani maandiko matakatifu yasema: "mungu huwanasa wenye hekima katika ujanja wao."

English

for the wisdom of this world is foolishness with god. for it is written, he taketh the wise in their own craftiness.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

yu wapi basi, mwenye hekima? yu wapi basi, mwalimu wa sheria? naye bingwa wa mabishano wa nyakati hizi yuko wapi? mungu ameifanya hekima ya ulimwengu kuwa upumbavu.

English

where is the wise? where is the scribe? where is the disputer of this world? hath not god made foolish the wisdom of this world?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maana, kadiri ya hekima ya mungu, watu hawawezi kumjua mungu kwa njia ya hekima yao wenyewe. badala yake, mungu amependa kuwaokoa wale wanaoamini kwa njia ya kile ambacho wenye hekima wanakiona kuwa ni upumbavu, yaani ujumbe tunaohubiri.

English

for after that in the wisdom of god the world by wisdom knew not god, it pleased god by the foolishness of preaching to save them that believe.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nikirejelea swala hili, ni rahisi kusema kwamba mtu hana haja ya hekima ya solomoni au ufahamu unabii wa isaya kwa kuongozwa katika mwelekeo kuwa kunayo masuala mengi ambayo tangu kitambo yameikumba sekta ya kilimo. masuala kama vile kama ukosefu wa upatikanaji rahisi wa ardhi ya kilimo, ukosefu wa taasisi za kuaminika na zisizo na mianya ya rushwa ili kuwawezesha wakulima kupata mashine za kisasa zinazohitajika kwa ajili ya kilimo cha kibiashara ambacho kwa kawaida huwa ndio uti wa mgongo wa kila taifa, ukosefu wa upatikanaji rahisi wa teknolojia zinazohitajika katika kilimo na mfumo wa kuwezesha kupatikana kwa dawa za kilimo kwa ajili ya kilimo endelevu kwa mwaka mzima pamoja na ufugaji ....

English

running on the heels of the above, it is convenient to say that one does not need the wisdom of solomon or the prophetic insight of isaiah to be led in the direction of the myriad of issues that have since rendered the agricultural sector beggarly, issues such as lack of easy access to land for farming, absence of reliable and corruption-free financial institutions to empower farmers acquire the required modern machinery for mechanised and commercial farming that is usually the backbone of every nation, lack of easy access to requisite technology and agro-chemical support-structure for sustained annual and perennial farming as well as animal husbandry....

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
7,773,358,752 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK