Results for henderson translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

loon pond, anayejulikana pia kama dorothy parker, anamchachafya henderson:

English

loon pond, aka dorothy parker, takes henderson to task:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

gerard henderson, india, uranium, uhalifu wa mitaani, na makala chafu

English

gerard henderson, india, uranium, street crime, and a particularly grubby column

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

henderson anakumbuka wimbo wa zamani kabisa una historia ndefu na kusema watafiti wamegundua nyimbo za aina hiyo kupitia fasihi za kale zinazofahamika.

English

henderson reckons the oldest lullaby is from well before the common era and says researchers have found lullabies in the oldest-known literature.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hiyo ni aina ya dansi ngumu ya kugongagonga kama inavyochezwa na gerard henderson katika makala ya kupigwa kwa wanafunzi kwafundisha masomo makali kuhusu ubaguzi wa rangi.

English

that's the convoluted tap dance performed by gerard henderson in student assaults teach some harsh lessons about racism.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

henderson anabainisha kuwa zipo nyimbo kuhusu "chakula, familia, majinamizi, watoto wasumbufu" na mambo mengine mengi.

English

henderson points out there are lullabies about "food, families, monsters, children being naughty" and many other things.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

jina la kitabu cha henderson kimetokana na wimbo wa ijamaika iitwao "hush baby hush," ambao toleo lake limerekodiwa na studio ya the kitchen sisters.

English

the title of henderson's book comes from a jamaican lullaby called "hush baby hush," with a version recorded by the kitchen sisters.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

gerard henderson, mkurugenzi mtendaji wa the sydney institute, anabashiri matokeo ya chini-chini katika mahusiano ya kisiasa katika kanda hii kwenye makala ya maoni ya gazeti la sydney morning herald :

English

gerard henderson, executive director of the sydney institute, speculates on the geopolitical undertones in an opinion piece for the sydney morning herald :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini inaonekana kuwa si tu kwamba nyimbo la kulalia zinawasaidia watoto kupumzika, lakini pia zinawasaidia watu wazima, hali kadhalika, anaeleza mwandishi kathy henderson, aliyekusanya nyimbo za aina hiyo kutoka kila kona ya dunia alipokuwa akiandaa kitabu chake cha watoto kiitwacho, hush, baby, hush .

English

but it turns out lullabies don't just help babies relax, they help adults, as well, explains author kathy henderson, who collected lullabies from across the globe for her children's book, hush, baby, hush.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,941,736,918 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK