From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
basi, siku ya mikate isiyotiwa chachu ikafika. hiyo ndiyo siku ambayo mwana kondoo wa pasaka huchinjwa.
then came the day of unleavened bread, when the passover must be killed.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
siku ya kwanza ya sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, wakati ambapo mwana kondoo wa pasaka huchinjwa, wanafunzi wake walimwuliza, "wataka tukuandalie wapi karamu ya pasaka?"
and the first day of unleavened bread, when they killed the passover, his disciples said unto him, where wilt thou that we go and prepare that thou mayest eat the passover?
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting