Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kila mahali.
everywhere.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
tunahitaji kurudi kwenye maeneo yetu.
we want to return to our land.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mateso yalikuwepo kila mahali.
suffering was all around.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
virusi hivyo vinaweza kuishi kwenye maeneo hadi saa 72.
the virus can survive on surfaces up to 72 hours.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
waandamanaji waliwaomba wanawake na watoto kuondoka kwenye maeneo yenye ghasia.
protesters called on women and children to leave the site of clashes.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
"kwa kweli, hali hii ipo kila mahali".
"it's really a global phenomenon.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
neno la bwana likaenea kila mahali katika sehemu ile.
and the word of the lord was published throughout all the region.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
inapendeza kuona kuwa maandamano ya wanafunzi yalikuwa makubwa jijini santiago na kwenye maeneo mengine.
it's good to see that the student march was massive in santiago and other regions.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
maeneo haya yamefukarishwa na kutumikishwa na "makao makuu."
most of the districts are impoverished and enslaved to the "capital."
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
habari za yesu zikaenea upesi kila mahali katika wilaya ya galilaya.
and immediately his fame spread abroad throughout all the region round about galilee.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
nadhani inatakiwa kufanyika pote, hata kwenye maeneo ya kazi ya utawala wa juu watumie vyoo hivyo hivyo!
i think it should be done across the board, even at work places top management sharing the same toilets!
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kutoka chile zilikuja ripoti za watu kutakiwa kuhama makazi kwenye maeneo ya ukanda wa pwani ya kaskazini kuchukua tahadhari dhidi ya uwezekano wa tsunami:
from chile came reports of evacuation from cities along the northern coast in anticipation of a possible tsunami:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
habari ya tukio hili ilienea kila mahali huko yopa, na watu wengi wakamwamini bwana.
and it was known throughout all joppa; and many believed in the lord.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
haya yalikuwa ni matukioa na tabia za watu wa maeneo haya ambayo ungeweza kuyaona katika vitongoji hivi.
these were the scenes and habits of local people you could see everywhere along these village towns.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
binafsi, nafikiri ni jambo jema na ninataka kuona mshikamano kila mahali nchini thailand.”
i personally think it's good and want to see harmony in every area of thailand."
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
lakini makondakta wenye sura zenye hofu walianza kukimbia kila mahali wakikusanya magodoro, vitambaa vya mezani na maji.
but conductors with pale faces started running around collecting mattresses, tablecloths and water.
Last Update: 2024-01-29
Usage Frequency: 1
Quality:
na makazi ya israel kwenye maeneo ya palestina ni kinyume cha sheria, na imetangazwa hivyo na jumuiya ya kimataifa kupitia maazimio mbalimbali ya umoja wa mataifa.
the israeli occupation of the palestinian territories is itself illegal, and declared so by the international community through various un resolutions.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
amekuwa pia akipakia nakala ya kazi zake za zamani katika ukurasa wake wa facebook ambazo anaziona kama bado zina manufaa kufuatia kuvamiwa kwa jamii ya lumad na matukio ya mfululizo ya kurubuni mali asili zilizopo kwenye maeneo ya urithi ya makabila haya.
he has also been uploading copies of his old paintings on facebook which he thinks are still relevant because of the attacks on lumad communities and the continued plunder of natural resources in the ancestral domains of ethnic tribes.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
siku hiyo ya ziara ya waziri mkuu, muhammad siddique, mmliki wa gari lililokuwa kwenye foleni alisema mikutano muhimu na safari za watu maarufu zibaki kuwa kwenye maeneo ya kijeshi la jiji hilo.
on the day of the prime minister's visit, muhammad siddique, a car owner stuck in a traffic jam said important meetings and vip movements should be restricted to the high security military cantonment of the city.
Last Update: 2024-03-18
Usage Frequency: 1
Quality:
athari moja wapo inayowezekana ya kubadilishwa huku kwa hali ya hewa ni kwamba inabadili uelekeo wa unyevu unyevu kutoka kwenye maeneo mengine ambayo yanauhitaji vile vile, kwa minajili ya kutengeneza mvua kubwa katika eneno linalokusudiwa.
one possible side effect of weather modification is that it diverts precipitation from other regions that need it too, for the sake of creating stronger storms in a focused area.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: