Ask Google

Results for husababisha translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

husababisha

English

cause

Last Update: 2013-03-30
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

“‘Tunajua kwamba VVU husababisha UKIMWI.'

English

"'We know that HIV causes AIDS.'

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

popote waendapo husababisha maafa na mateso;

English

Destruction and misery are in their ways:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Sheria husababisha ghadhabu; lakini kama hakuna Sheria, haiwezekani kuivunja.

English

Because the law worketh wrath: for where no law is, there is no transgression.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Mwishowe, uhaba wa maji huchangia katika kuongeza umaskini na vyote hivyo husababisha maradhi.

English

At the end, lack of water added to existent levels of poverty many times result in illnesses.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

-Theluthi ya mimba zote hazikutarajiwa, na theluthi ya mimba hizi husababisha utoaji wa mimba.

English

-A third of all pregnancies are unintended, and one third of these unintended pregnancies result in an abortion.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Mwanasiasa na mtu ambaye husababisha utata zaidi ya wote nchini Afrika Kusini Julius Malema amesimamishwa uanachama wa chama cha ANC kwa miaka mitano.

English

South Africa's most controversial character and politician Julius Malema has been suspended from the ANC for five years.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Kwa hiyo, ikiwa chakula husababisha kuanguka kwa ndugu yangu, sitakula nyama kamwe, nisije nikamfanya ndugu yangu aanguke katika dhambi.

English

Wherefore, if meat make my brother to offend, I will eat no flesh while the world standeth, lest I make my brother to offend.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Zaidi ya madhara ya kimwili ya kuwa na VVU, vilevile kuna unyanyapaa na miiko inayotokana na kuwa na ugonjwa, ambayo husababisha ugumu kwa watu kupata matibabu stahiki na msaada.

English

In addition to the physical complications of having HIV, there's also the stigma and taboo that comes with having the disease, which makes it harder for people to receive adequate treatment and support.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Ripoti katika vyombo hivyo zinaonyesha picha za kuogofya ambazo husababisha watu wengi kughairi kabisa mpango wa kuitembelea nchi hiyo iliyoathirika vibaya na mapigano lakini kwa asili ikiwa ni nchi nzuri sana.

English

Reports in such media feature terrifying pictures that lead most people to never want to visit the war-torn but very beautiful country.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Unyanyapaa wanaofanyiwa watu wenye asili ya Afrika katika sehemu kubwa ya nchini hiyo husababisha machotara wengi kutotaka kujulikana kuwa wana asili ya Afrika, wakati takwimu zisizo rasmi zinaonyesha kuwa raia wa nchi hiyo wenye asili ya Afrika wanafikia asilimia 25 ya watu wote.

English

The stigma associated with African descent in much of the country leads mixed-race individuals to identify away from their Afro roots, and unofficial figures place the Afro-Colombian community at as high as 25% of the total population.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Wanablogu wa Korea, wakieleza machungu yao juu ya kifo hicho, waliitaka serikali ya nchi hiyo na polisi kutokuruhusu ndoa za holela kupitia mawakala ambao mara nyingi husababisha ndoa kuwa balaa kwa kuficha hali ya kiakili ya mume mtarajiwa, tabia na wasifu wake.

English

Korean bloggers, while expressing their grievances to the murdered bride, urged the government and the police to clamp down the unwarranted marriage agencies who often lead marriages into tragedies by hiding the husband's mental history, characters and status.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

"Mwenye #bunduki husababisha ghasia nyingi mno" #SudanK #Juba #SudanKusini #SalvaKiir #RiekMachar #Kenya

English

"He who has the #guns creates a whole lotta mayhem" #SSudan #Juba #SouthSudan #SalvaKiir #RiekMachar #Kenya — Rebel Eyes (@RebelEyes1776) December 19, 2013

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Mapema juma lililopita, wakati wa uzinduzi wa mkutano juu ya Chanjo ya UKIMWI ya Kimataifa ya 2008 (International AIDS Vaccine 2008) huko Cape Town, Hogan, alitangaza hadharani kwamba VVU husababisha UKIMWI na kwamba ni lazima kukabiliana nao kwa kutumia dawa za hospitalini.

English

Earlier this week, at the opening of the International AIDS Vaccine 2008 conference in Cape Town, Hogan publicly declared that HIV does cause AIDS and should be treated with conventional medicine.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

“Kusema kweli, watu wengi ninaozungumza nao wanashangazwa na jambo hili - kwamba maafisa wa serikali waliochaguliwa kwa njia za kidemokrasi wanakana fikra ... kwamba ... VVU husababisha UKIMWI.

English

"So most people I talk to find it - surprising - that democratically elected government officials, in today's world, would deny such ideas as ... say... that HIV causes AIDS.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK