Results for husababisha mimba zisizotarajiwa translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

husababisha mimba zisizotarajiwa

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kati ya sababu za mimba za utotoni, theluthi moja ya mimba zisizotarajiwa ni matokeo ya utokutumia kinga, na nuu ya wasichana wanaoathirika ni wale ambao hawakupata elimu ya afya ya uzazi kabla ya kupata mimba.

English

among the causes of teen pregnancy, it's worth mentioning that one-third of unwanted pregnancies are a result of not using protection, and half of the girls affected didn't receive proper sexual and reproductive education before getting pregnant.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

waume zao hawatumii kondomu na wanapenda wake zao watumie mbinu nyingine za kupanga uzazi; kwa hiyo njia rahisi inayopatikana kirahisi na yenye ufanisi ya kutumia kondomu haipendwi na wanaume, hiyo ikifanya suala la kujikinga na mimba zisizotarajiwa kuwa ni wajibu wa mwanamke.

English

their husbands were not keen on using condoms and preferred that their wives used contraception instead; so the inexpensive, easily available and quite effective condom for men was not an option, leaving contraception entirely up to the women.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ana umri wa miaka 18 mtangazaji mwenza wa zamani wa kipindi cha redio kwa vijana nchini liberia, “na tuzungumzie ngono”, ambacho kinachoshughulika na masuala yanayohusiana na maambukizi ya vvu/ukimwi na kuzuia mimba zisizotarajiwa.

English

he is an 18-year old former co-host of the liberian youth radio show, "let’s talk about sex", which deals with issues relating to the spread of hiv/aids and pregnancy prevention.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

leo, kipindi cha redio cha “na tuzungumze kuhusu ngono” kinarushwa kote nchini liberia, na kinatumia namna nyinginezo za kusisitiza kama vile vipeperushi, maigizo, maonyesho ya barabarani, majadilioano ya makundi lengwa, na elimu rika kusambaza ujumbe kuhusu maambukizi ya vvu na namna ya kuepuka mimba zisizotarajiwa.

English

today, the ltas radio show is aired all over liberia, and uses other reinforcement channels such as brochures, dramas, road shows, focus groups discussions, and peer training to spread the message about hiv transmission and pregnancy prevention.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
7,745,089,930 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK