Results for husafiri translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kila mwaka mamilioni ya waislamu husafiri kwenda maka kuhiji, moja ya nguzo tano za uislamu.

English

every year millions of muslims converge to mecca to perform hajj (pilgrimage), one of the five pillars of islam.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa mujibu wa takwimu zisizo rasmi, maelfu ya watoto husafiri na idadi isiyopungua mia moja hukamatwa kila siku.

English

they are already counted by the thousands and at least a hundred are put into custody every day, according to unofficial numbers.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wanawake wanne kutoka jamii ya tatar husafiri kila juma kutoka katika kijiji chao kwenda syzran ili kutafuta fedha za kujikimu.

English

four ethnic tatar women commute weekly from their village to syzran to earn some money.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

blogu ya marten ni ya picha peke yake inayoendeshwa na marten schoonman anayeishi nairobi kenya lakini ni mtu ambaye husafiri sana kwenye ukanda wa afrika mashariki na ng’ambo.

English

marten’s blog is a purely photography blog run by marten schoonman who is based in nairobi kenya but one who travels a lot through the east african region and beyond.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,899,362,151 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK