From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
wanaharakati dhidi ya rushwa wamekuwa katika mstari wa mashambulizi.
increasingly, anti-corruption activists have been in the line of attack.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
baadhi ya wilaya za shule zinaweza kutoa chaguo mbadala ya kutunza watoto, zikiwapa kipaumbele watoto wa wahudumu walio katika mstari wa mbele na wafanyakazi wa matibabu.
some school districts may offer alternative child care options, prioritising the children of first responders and healthcare workers.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
kutokana na matangazo haya, lucky akter, mwandamanaji aliye katika mstari wa mbele kabisa amekuwa maarufu kutokana na kauli mbiu zake motomoto.
because of these broadcasts, lucky akter, a leading protester has become popular for her fiery slogans.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
diegoalejandro1985 ametuma picha ya video inayoonyesha watu wakiwa katika mstari wa kuingia katika moja ya taasisi zinazoendesha michezo hiyo inayojulikana kama drfe wakijaribu kudai pesa zao mara baada ofisi ya mwanasheria mkuu kuivamia na kuipekua, ambapo kuna fedha zilizokutwa zilizodhaniwa kuwa ilikuwa zitumike kulipa wale waliowekeza pesa zao kwenye taasisi hiyo, hata hivyo, msako huu unasemekana kwamba ulikuwa batili na hivyo mchezo wa upatu katika jengo hilo bado unaendelea.
diegoalejandro1985 posts a video of people lining up outside one of these investment options known as drfe, trying to claim their money after the general attorneys searched the premises and took hold of money that could've been used to pay those with savings invested in the organization, but this search was deemed illegal and the pyramid scheme is still in operation.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: