From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
wizara ya mifugo na uvuvi
department of livestock and fisheries
Last Update: 2024-02-06
Usage Frequency: 1
Quality:
biashara ya mifugo
Last Update: 2020-05-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
idara ya uchumi, takwimu na ufuatiliaji
idara ya uchumi, takwimu na ufuatiliaji
Last Update: 2021-04-29
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
injinia wa idara ya maji
department of water
Last Update: 2024-06-12
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
idara ya elimu msingi na elimu ya awali
the department of primary education
Last Update: 2024-03-11
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
picha kutoka ukurasa wa flickr wa idara ya mambo ya nje ya marekani
picture from flickr page of us department of state
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
idara ya afya ya marekani na huduma za kibinadamu zilitangaza mkurupuko wa dharura ya afya ya umma mnamo tarehe 31 januari.
the united states department of health and human services declared the outbreak a "public health emergency" on january 31.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
idara ya mambo ya nje na biashara ya australia ina kiwango cha juu cha tahadhari katika ushauri wa safari kwenda india.
the australian department of foreign affairs and trade has a high degree of caution as its current travel advice for india.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kazi iliyokuwa ikifanywa na idara ya mahusiano ya umma ya serikali ya zambia haikupita hivi hivi.
the zambian government's curious public relations hasn't gone unnoticed on social media.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
"watumishi wengi wa idara ya afya wakiwa katika kituo cha polisi mjini maputo.
"many many health professionals here in the 6th police station of maputo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
ndugu mteja, sehemu yako imefika salama katika idara ya mizigo na uchukuzi, uwanja wa ndege wa kimataifa wa moi changamwe mombasa kenya
dear customer, your parcel has arrived safely at the department of freight and cargo, moi international airport changamwe mombasa kenya
Last Update: 2023-02-08
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mkurugenzi wa idara ya mambo ya ndani alinitunukia cheo cha meja, ambacho nilikipata mwezi mei, kwa sababu tu nilimwahidi kutumpa mtu asiye na hatia gerezani.
the director of the department of internal affairs awarded me rank of a major, which i received in may, because i promised him to put an innocent person in jail.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mwaka wa 2007, idara ya afya kenya iliwatahadharisha wananchi kuhusu dawa za malaria za duo-cotecxin ambazo zilikuwa zinauzwa sana nairobi na jinsi ya kuzitambua.
in 2007, the ministry of health in kenya issued a warning about counterfeit antimalarial medication duo-cotecxin being sold in nairobi and how to detect it.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
idara ya afya ya umma ya california inataka kuweka uthabiti katika jimbo lote ili kuhakikisha kwamba tunapunguza madhara ya covid-19.
the california department of public health looks to establish consistency across the state in order to ensure that we mitigate the impact of covid-19.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
juhudi muhimu za utafiti umelenga kufafanua wazi asili ya virusi hivi vya korona vya mnyama, haswa na wataalamu wa virusi wanaopendezwa na magonjwa ya mifugo na vinavyosambazwa kutoka kwa mnyama hadi kwa mwanadamu.
significant research efforts have been focused on elucidating the viral pathogenesis of these animal coronaviruses, especially by virologists interested in veterinary and zoonotic diseases.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa sasa wahindi wa ki-yukpa wameyatwaa tena mashamba hayo makubwa, na wale wamiliki waliokuwa wakiyashikilia na ambao walitegemea nyama na uzalishaji wa mazao ya mifugo kuendesha maisha wanashindwa kuendelea na kazi zao.
currently the yukpa indians have taken over the ranches, and the landowners who live off meat and dairy production are unable to continue their work.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hata hivyo, jaribio la hatari zaidi lililofanywa na idara ya mahusiano ya umma ya rais ni picha ya rais sata akimwapisha mkuu wa masuala ya kisheria wa serikali musa mwenye ambaye alithibitishwa na bunge kwa nafasi ya mwanasheria mkuu wa serikali lakini hajaapishwa majuma kadhaa.
however, the most disastrous public relations stunt that spectacularly backfired was the picture of president sata swearing in then solicitor general musa mwenye who had been ratified by parliament for the position of attorney-general but had been unsworn for weeks on end.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa mujibu wa asaad, usamah alipelekwa kwenye jengo la makao makuu ya idara ya usalama wa taifa yaliyopo khartoum kaskazini wakati yeye mwenyewe alipelekwa kwenye kituo cha polisi mjini khartoum.
according to asaad, usamah was taken to niss headquarters in khartoum north while he himself was taken to a police station in khartoum.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kufuatia utambulisho, watoa mada noha atef wa idara ya utetezi ya global voices na eman abdulrahman wa global voices (na mwanzilishi wa koleana laila) walishirikisha dondoo na mawazo kuhusu namna ya kutengeneza kampeni bora mtandaoni.
following the introductions, presenters noha atef of global voices advocacy and eman abdulrahman of global voices (and founder of kolena laila) shared their tips and thoughts on creating effective campaigns online.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
santiago alieleza kuwa uamuzi wake ulizingatia uhusika wa oronoz rodríguez katika kashfa za siku za nyuma, ambapo inadaiwa akiwa mkurugenzi wa idara ya sheria ya manispaa ya san juan alitetea uamuzi wa meya wa kuruhusu kukaguliwa kwa kila mtu ambaye angehudhuria sherehe za mtaa wa san sebastian.
santiago explained that her decision was based on oronoz rodríguez' involvement in a controversial case, when as the director of san juan's municipal legal division she defended the mayor's decision to impose searches on every individual who would attend this year's san sebastian street festival.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: