Results for ifikapo translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

ifikapo mwaka 2017 nchi zote za afrika ziige mfano huu

English

by 2017 all african states should adopt this #dgtrends — raymond c maro (@raymondcmaro) september 16, 2014

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

cameroon: ndoto za umeme kwa ajili ya maendeleo ifikapo 2035

English

cameroon: electric dreams for development by 2035 · global voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

waandaaji wakuu wa maandamano hayo wamewasihi waandamanaji kurudi tena ifikapo saa 4 usiku.

English

key protest organizers have urged protesters to retreat at around 10 p.m.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mradi huu unatarajia kukusanya kumbukumbu wa watu binafsi zipatazo milioni 5 ifikapo mwaka 2015.

English

the project hopes to collect 5 million personal memories by 2015.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

taa za depot zinazima ifikapo usiku zinaweza sababisha mwizi kuruka na kuingia ndani pasipo kuonekana

English

depot lights off by night

Last Update: 2023-05-11
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hii itasaidia umma kufanya maamuzi yanayotokana na ufahamu wa kutosha kuhusu nani wa kumchagua ifikapo mei 19.

English

this will help the public to make an informed decision on who to vote for on may 19.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa hiyo, serikali ni lazima iendelee kutafiti zaidi kwenye utekelezaji wake ifikapo mwaka 2016 na sio mwaka 2012.

English

therefore, government should still research more into its implementation by 2016 and not 2012.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ifikapo tarehe 31 oktoba 2010, watanzania zaidi ya milioni 19.6 watafanya uamuzi muhimu kuhusu hatma ya nchi yao.

English

on 31 october 2010, more than 19.6 million tanzanians will make an important decision for the future of their country.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

shirika la refugees united linasema linalenga kufikia watu milioni 1 ifikapo mwaka 2015 na global voices inajisikia fahari kutoa ushirikiano wa karibu.

English

refugees united say they seek to reach 1 million people by 2015 and global voices is proud to offer backup.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

dhumuni la kuandika barua hii,nataka kukufahamisha juu ya kulipa deni langu ifikapo tarehe9/3/2024 jangwan.

English

Last Update: 2024-03-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa hakika, mkakati huo huo unakadiria kwamba inagharimu dola za marekani bilioni 300 kufikia kiwango cha kila mtu kupata huduma ya umeme barani kote ifikapo mwaka 2030.

English

indeed, the same fact sheet soberly estimates that it would cost $300bn to secure universal access to power on the continent by 2030.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kutokuwepo kwa uhakika wa upatikanaji wa umeme pia kunaleta tishio kwa maendeleo ya viwanda nchini cameroon, jambo ambalo litakwaza ndoto ya nchi hiyo kuwa nchi yenye uchumi imara ifikapo 2035.

English

limited access to electricity also represents a threat to the industrialization of cameroon, which in turn could undermine cameroon’s ambition of becoming emerging economy by 2035.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kufanya vikao na watalamu wa tiba mbadala wawli,wakunga wa jadi wa nne nan na wahudumu wa afya ngazi ya jamii 16 kwa dhumuni la kuwaleta mapema wagonjwa katika kituo cha kutolea huduma kwa matibabu wa siku tano ifikapo june 2018

English

to perform sessions with alternative veterinarian practitioners, four-year midwives and 16 community healthcare staff for the purpose of bringing patients to the treatment center for five-day treatment by june 2018

Last Update: 2017-10-27
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mradi huo ulizinduliwa leo na ifikapo mwezi juni mwaka huu (ndio, ndani ya miezi mitatu), shule 245 za mfano zinatarajiwa kuwa zimeunganishwa tayari.

English

the project was launched today and by june this year (yes, in 3 months), the pilot of 245 schools is expected to be done.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

lengo kubwa la awamu yake mpya ya urais kwa nchi ya kameruni ni kufikia hadhi ya soko linaloibukia ifikapo 2035 kupitia hatua kwa hatua za “mafanikio makubwa” katika maendeleo ya miundo mbinu ya usafiri na nishati .

English

the goal for his new term is for cameroon to reach emerging market status by 2035 through a series of “great achievements” in transport and energy infrastructure development .

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kampuni ya rwandan telecentre network (rtn) ikishirikiana na jitihada za serikali, imekusudia kujenga mtandao wa kitaifa wa vituo 1,000 vya teknolojia mpanga ifikapo mwaka 2015 na kuendesha mafunzo ya wataalam wa ndani.

English

rwandan telecentre network (rtn) is rallying with the government's efforts, pledging to create a national network of 1,000 itc centers by the end of 2015 and to train local personnel.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,899,380,530 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK