Results for ilani! translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

ilani ya ccm

English

ccm notice

Last Update: 2021-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ilani ya uchaguzi

English

election manifesto

Last Update: 2015-10-22
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ilani hiyo inaanza kwa maneno haya:

English

the manifesto opens with the words:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ilani ya uchaguzi kwa kuwa rais wa uganda

English

amanifesto for being a president of uganda 250 - 300 words

Last Update: 2023-08-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

matokeo yake yalikuwa ni ilani ya global voices.

English

the global voices manifesto was the result.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mfano wa insha kuhusu ilani ya ungojwa uliozuka

English

an example of an essay about a manifesto

Last Update: 2022-07-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

molly meek anachapa nyaraka yenye maelezo ya ilani ya pap.

English

molly meek publishes an annotated document of the pap manifesto.

Last Update: 2024-04-14
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ilani ya uchaguzi ya pap inaahidi mustakabali bora kwa kila mwananchi wa singapore

English

the pap manifesto promises a better future for all singaporeans

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ilani ya pap ina kurasa 25 ikilinganishwa na kurasa 63 katika ilani ya wp.

English

the pap document consists of 25 pages compared to the 63 pages in the wp manifesto.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ilani hiyo iligusia juu ya ahadi ya pap kuheshimu maoni tofauti katika jamii.

English

the manifesto mentioned about the commitment of pap to respect diverse views in society.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

nigel tan amesikitishwa na kwamba ilani hiyo imesheheni ahadi ambazo haziko bayana:

English

nigel tan is disappointed that the manifesto contains only vague promises:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

lucky tan naye hajashawishikana ilani hiyo na anaonya kwamba ufumbuzi uliopendekezwa umeshawahi kufanyika huko nyuma:

English

lucky tan is not impressed with the manifesto and warns that the proposed solutions have been done before:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hivi karibuni solís mora alichapisha tahadhari —au ilani—kwenye ukurasa wake wa facebook:

English

solís mora recently published a warning—or rather a manifesto—on his facebook wall:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

amri imetolewa kwamba kwa haraka iwezekanavyo, amri hii itawasilishwa kwa ofisi ya katibu wa jimbo na kwamba matangazo ya kitaifa na ilani itatolewa ya amri hii.

English

it is further ordered that as soon as hereafter possible, this order be filed in the office of the secretary of state and that widespread publicity and notice be given of this order.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

usimamizi wa chakula na dawa wa marekani ulitoa ilani kuhusu upungufu wa dawa na vifaa vya kimatibabu kutokana na kuongezeka kwa hitaji kutoka kwa watumiaji na kuvurugwa kwa usambazaji wa bidhaa.

English

the united states food and drug administration has issued warnings about shortages of drugs and medical equipment due to increased consumer demand and supplier disruption.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

tuzo ya kuvunja mipaka inaendeleza maadili yaliyowekwa katika ilani ya global voices, ambayo iliandikwa kwa pamoja kwenye wiki mwaka 2004 ili kubainisha kanuni za kuiongoza asasi na jamii ambayo ilikuja kujulikana kama global voices.

English

the breaking borders award builds upon the values expressed in the global voices manifesto, the document co-written on a wiki in 2004 to articulate the guiding principles of the organization and community that would come to be known as global voices.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

huenda ndege zikaghairishwa bila ilani, aidha kwa sababu ya kuenea kwa ugonjwa na vikwazo vya kuingia vinavyobadilika sana, au kwa sababu ya watu wachache wanaosafiri na mashirika ya ndege kuwa na matatizo ya kujaza viti.

English

flights may get canceled with little notice, either due to the disease's spread and ever-changing entry restrictions, or simply because fewer people are flying and airlines are having trouble filling seats.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

badala ya kuwakomboa wasomali halisi, wanaohitaji na wanaoendelea kuishi nchini mwao na kuendelea kuiendeleza nchi yao wenyewe na jamii zao ndani ya somalia, rasimu hii ya katiba inaonekana kuwa ilani ya kuwakumbatia wageni na pia kuwakandamiza milele wazawa wa somalia.

English

instead of liberating the true somalis, who need and want to continue living in and developing their own country and their communities inside somalia, the planned constitution appears as the manifestation of the shackles of foreign as well as internal oppression of the indigenous somali people in perpetuity.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kama ilivyo upande wa tanzania bara, ilani za uchaguzi, picha na video za mikutano ya kampeni nazo zimetundikwa kwenye tovuti za mgombea urais wa zanzibar wa chama cha ccm dkt. ali mohamed shein na vilevile zile za mpinzani wake mkubwa, maalim seif sharif hamadwa chama cha wananchi (cuf).

English

similar to tanzania mainland, election manifestos, pictures and videos of the campaign rallies are on display on the websites of the zanzibar’s ccm presidential candidate dr ali mohamed shein as well as on his main opposition contender maalim seif sharif hamad from the civic united front (cuf).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,877,158,616 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK