Results for ilhali translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

ilhali wa samaki ni

English

young fish

Last Update: 2025-03-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na ilhali wote wanasoma kitabu hicho hicho (biblia).

English

even so say those who know not, the like of their saying.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mbona mnazikataa ishara za mwenyezi mungu ilhali nyinyi mnashuhudia?

English

(jews and christians): "why do you disbelieve in the ayat of allah, [the verses about prophet muhammad saw present in the taurat (torah) and the injeel (gospel)] while you (yourselves) bear witness (to their truth)."

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

ilhali kuna mashaka kuwa inaweza kusambazwa na kinyesi, hatari inaaminika kuwa duni.

English

while there are concerns it may spread by faeces, this risk is believed to be low.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

enyi watu wa kitabu! mbona mnazikataa ishara za mwenyezi mungu ilhali nyinyi mnashuhudia?

English

(muhammad), say, "people of the book, why do you deny the revelation of god (the quran) even though you know very well that it is from god?.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

wanablogu wa naijeria wanatumia muda wao mwingi kuzungumza ilhali wakitengeneza mjadala wa kitaifa kuhusiana na mustakabali wa nchi yao.

English

nigerian bloggers are busy talking but creating a national conversation about the future of their country.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wala msiwashurutishe vijakazi vyenu kufanya zina kwa ajili ya kutafuta pato la maisha ya dunia, ilhali wao wanataka kujihishimu.

English

and constrain not your bedmaids to harlotry if they would live chastely, in order that ye may seek the chance gain of the life of the world.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa nini mnakanusha ishara za mwenyezi mungu, na ilhali kuwa mwenyezi mungu ni shahidi kwa yote mnayo yatenda?

English

why disbelieve ye in the revelations of allah, when allah (himself) is witness of what ye do?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

panama imeifanya kuwa lazima kuvaa baragoa kila uendapo nje, ilhali pia inapendekeza utengenezaji wa baragoa nyumbani kwa wale ambao hawawezi kununua baragoa.

English

panama has made it obligatory to wear a face mask whenever going outside, while also recommending the manufacture of a homemade face mask for those who cannot purchase face masks.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@gsquare86: sielewi vipi mkuu wa moi aldy alishtakiwa ilhali hakuna polisi wala msaidizi wake hawakushtakiwa na lolote?!!!!#manzayamubarak

English

@gsquare86: i don’t get how head of moi aldy charged yet no policeman nor his men get charged with anything?!!!! #mubaraktrial

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa kuyataja kama mashambulizi ya kanisa yaweza maanisha chochote, ilhali twajua kuna chembechembe za msimamo mkali wa al-shaabab nyuma ya mashambulio hay.

English

dear nation,it's time we all start calling this attacks for what they are......terrorist attacks.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kuna ripoti chache tu ya visa vilivyothibitishwa maabarani vya watu wasioonyesha dalili zozote ilhali wana virusi kuwepo, lakini visa vya watu walioambukizwa na wasioonyesha dalili zimetambuliwa na nchi zingine wakati wanafuatilia watu waliotangamana na wagonjwa.

English

only few reports of laboratory-confirmed asymptomatic cases exist, but asymptomatic transmission has been identified by some countries during contact tracing investigations.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ilhali anaikubali nafasi ya muziki wa dancehall katika jamii ya kijamaika na umuhimu wake katika utamaduni maarufu, anahisi kwamba muziki wa dancehall unawajibika kwa jamii iliyoikuza na unapaswa kubadili sura yake…

English

while he acknowledges the place of dancehall music in jamaican society and its importance as the centre of popular culture, he feels that dancehall has a responsibility to the society from which it springs to reform its image...

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ni dhahiri kwamba, kiwango cha visa vya vifo mkoani hubei, china ni 4.2%, ilhali huku nje ya mkoa huo ni 1.2%.

English

notably, the case fatality in hubei, china is 4.2%, whereas the one outside of it is 1.2%.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

dayosisi kadhaa zimependekeza wakristo wazee kukaa nyumbani bali wasishiriki katika misa jumapili; kanisa zingine zimefanya ibada ya kanisa kupatikana kupitia redio, utiririshaji wa moja kwa moja mtandaoni au televisheni ilhali wengine wana ibada ya washiriki kuja garini.

English

many dioceses have recommended older christians to stay at home rather than attending mass on sundays; some churches have made church services available via radio, online live streaming or television while others are offering drive-in worship.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ilhali kampeni la kony 2012 hakika limepata usikivu lililotaka, waganda na waafrika wengi wanaona kwamba ujumbe wake umekosa muktadha na maelezo sahihi kuhusu joseph kony. zaidi ya hiyo, kampeni lenyewe lilijishughulisha na kuchanga pesa kwa shirikisho lililoanzisha kampeni lenyewe badala ya kuwawezesha watu walioathiriwa na vita hivyo kujiendeleza.

English

while the kony 2012 campaign certainly received the attention it sought, many ugandans and africans felt its message lacked the nuance required by context, and was more focused on raising funds for the organisation's own survival rather than empowering the people affected by the conflict.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

bali iliripotiwa kama mahali iliyo na uwezo duni kati ya vituo vipendavyo zaidi 20 ya miji katika matayarisho, ilhali miji australia zilidhaniwa kuwa na matayarisho nzuri.australia ilitoa mpango wa mwitikio wa hali ya dharura ya virusi vya korona geni (covid-19) mnamo 7 february.

English

bali was reported as least able among the 20 most popular destination cities in terms of preparedness, while cities in australia were considered most able.australia released its emergency response plan for novel coronavirus (covid-19) on 7 february.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,906,624,127 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK