Results for iliibwa translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

wakati fulani victor alijipatia kazi nzuri ya kufanya maboresho ya viatu vya timu ya shule ya mpira wa miguu, kwa bahati mbaya fedha aliyoipata iliibwa.

English

one day he landed a big job of mending the shoes of the school football team, unfortunately that money was stolen.

Last Update: 2024-02-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

anwani ile bandia ya twita (inayohisiwa kuwa iliibwa) @pmmeleszenawi iliyosababisha kuibuka kwa mjadala huo hapo juu, vilevile inaibua swali kwamba kwa nini viongozi wengi wa umma na wanasiasa barani afrika hawataki kuthibitisha anwani zao za twita.

English

the fake (supposedly hacked) @pmmeleszenawi twitter account, which managed to set off the debate mentioned above, also raises the question of why many public figures and politicians in africa haven’t had their twitter accounts verified.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,927,587,081 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK