Results for ilishinda translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

ilishinda

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kwa hakika ilikuwa ni siku ya india, kwa kuwa filamu nyingine fupi 'smile pinky' pia ilishinda tuzo ya oscar.

English

it was truly india's day as 'smile pinky', another short documentary based in india also won an oscar.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

global voices ilishinda tuzo hiyo mwaka 2005, lakini wengi wa waandishi wa zamani na sasa wa global voices wanashiriki katika shindano hili mwaka huu kupitia shughuli zao nje ya global voices.

English

global voices itself won a bobs award in 2005, but many of the current and former contributors to this website are featured in this year's bobs for their activities outside global voices.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mohiuddin, ambaye blogu yake ilishinda tuzo ya blogu bora ya uanaharakati wa kijamii kutoka kwenye tuzo ya blogu bora ya deutsche welle, 2012, amepata upinzani mkubwa sana kufuatia maandiko aliyokwisha kuyaandika.

English

mohiuddin, whose blog won the best social activism blog from the deutsche welle best of blogs awards 2012, has suffered backlash from his writing in the past.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kufuatia ushindi wa kishindo kwenye mashindano ya robo fainali (tazama habari zetu ), yaliyofanyika usiku wa jana timu ya mpira wa kikapu ya msumbiji, wanawake, ilishinda nafasi ya kuingia kwenye fainali za mashindano ya afrobasket usiku wa leo dhidi ya washindi watetezi angola.

English

following a thrilling victory in the quarterfinals (see our coverage), last night the mozambican women's basketball team won a place in the afrobasket finals tonight against reigning champions angola.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,747,969,537 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK