Results for ilivyoandikwa translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

ilivyoandikwa

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kwamba alizikwa, akafufuka siku ya tatu kama ilivyoandikwa;

English

and that he was buried, and that he rose again the third day according to the scriptures:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama ilivyoandikwa katika zaburi ya pili: wewe ni mwanangu, mimi leo nimekuwa baba yako.

English

god hath fulfilled the same unto us their children, in that he hath raised up jesus again; as it is also written in the second psalm, thou art my son, this day have i begotten thee.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini nawaambieni, eliya amekwisha kuja, nao wakamtendea walivyotaka kama ilivyoandikwa juu yake."

English

but i say unto you, that elias is indeed come, and they have done unto him whatsoever they listed, as it is written of him.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

akawaambia, "ndivyo ilivyoandikwa, kwamba kristo atateswa na siku ya tatu atafufuka kutoka wafu,

English

and said unto them, thus it is written, and thus it behoved christ to suffer, and to rise from the dead the third day:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

ilianza kama ilivyoandikwa katika kitabu cha nabii isaya: "tazama, namtuma mjumbe wangu akutangulie; yeye atakutayarishia njia yako.

English

as it is written in the prophets, behold, i send my messenger before thy face, which shall prepare thy way before thee.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

ndivyo ilivyoandikwa katika kitabu cha nabii isaya: "sauti ya mtu imesikika jangwani: mtayarishieni bwana njia yake; nyosheni mapito yake.

English

as it is written in the book of the words of esaias the prophet, saying, the voice of one crying in the wilderness, prepare ye the way of the lord, make his paths straight.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kama mnaitimiza ile sheria ya utawala kama ilivyoandikwa katika maandiko matakatifu: "mpende binadamu mwenzako kama unavyojipenda wewe mwenyewe", mtakuwa mnafanya vema kabisa.

English

if ye fulfil the royal law according to the scripture, thou shalt love thy neighbour as thyself, ye do well:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hatimaye, pamoja na yote haya, na licha ya orodha ya upingaji wa mafanikio ya mubarak kama ilivyoandikwa na ahmed hayman, bado kuna wanaomwonea huruma rais huyo wa zamani: @montuessam: ninaapa kwa mungu, hivi sasa ninajisikia mwenye huzuni kwa kuwa raia wa misri, hasa kwa sababu ya yale ninayoyashuhudia sasa.

English

finally, despite all this, and despite the list of mubarak's anti-achievements written by ahmed hayman, some people still sympathise with the former president: @montuessam: i swear to god i'm now sad to be an egyptian, because of what i'm seeing now.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,782,393,497 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK