Results for iliweka translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

iliweka

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

wakati wa uwasilishaji mada, etecsa iliweka bayana kuwa:

English

in the presentation, etecsa acknowledges:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

blogu ya kumbukumbu za tahrir diaries iliweka video hii kwenye mtandao wa youtube kuadhimisha siku 100 ya kukamatwa kwa abd el fattah.

English

tahrir diaries posted this video on youtube to make the 100th day anniversary of abd el fattah's arrest.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

siku ya jumatano, woolsworth pia iliweka vikomo kwa ununuzi wa karatasi shashi kutoka uwasilishaji nyumbani hadi kifurushi kimoja kwa kila agizo.

English

on wednesday, woolworths also limited toilet paper purchases for home delivery to one pack per order.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

netizens in balatarin, tovuti maarufu ya kusambaza habarii, iliweka picha kadhaa, filamu na posti kuhusiana na shambulio hilo.

English

netizens in balatarin, a popular link sharing site, shared several photos, films and posts regarding this attack.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

blogu iliyoko marekani immigration impact iliweka sambamba mambo yanafanana kati ya harakati za haki za kiraia za miaka ya 1960 na uhamiaji wa leo, inaandika:

English

us-based blog immigration impact drew parallels between the civil rights movement of the 1960s and immigration today, writing:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

blogu hiyo pia iliweka posti mbili nyingine kuhusu hatua zilizochukuliwa na serikali dhidi ya wanachama wa kikundi hicho cha ’ladies in white’.

English

the blog also posted two other entries about state action against members of the ladies in white.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jj rawlings, blogu isiyo rasmi iliyotengenzwa kutoa dondoo za kazi na mawazo ya rais huyo wa zamani iliweka taarifa nzuri tarehe 18 mei, 2009 kuhusu safari ya rais rawlings kwenda afrika kusini kwa niaba ya rais mills.

English

jj rawlings, an unofficial blog site created to highlight the work and thoughts of the former president posted a positive report on may 18, 2009 about president rawlings’ trip to south africa on behalf of president mills.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

bbc iliweka ukurasa huu wa facebook kama jitihada zake za kukwepa mashambulizi kuhusu masuala ya utawala wa sheria na dhana ya uhuru kufuatia mapinduzi ya mwezi mei, ikiwa ni pamoja na kuzuiliwa kwa mikusanyiko ya kisiasa na kukamatwa kwa mamia ya wanasiasa na wanaharakati wanaopinga mapinduzi ya kijeshi.

English

the bbc set up this facebook page in an effort to avoid the systematic attack on the rule of law and liberties which followed may’s coup, including the banning of political gatherings and arresting and detaining hundreds of politicians and anti-coup activists.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

blogu ya tiguend iliweka shuhuda za walimu walioathirika na uhamisho huo, zilizopewa jina "hii ndiyo sababu kwa nini ninastahili kutimuliwa kazi" ambapo walizungumzia kukiukwa kwa haki kwa uamuzi huo:

English

tiguend blog posts a testimony of one the teachers effected by the transfers, entitled "this is why i deserve the sanction" where he speaks of the injustice of that decision:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

jioni ya tarehe 6 novemba, blogu ya babalú iliweka kiungo kuelekea makala iliyoandikwa na penultimos dias (es) ilitoa taarifa kuwa baadhi ya wanablogu mashuhuri wa cuba, wakiwemo yoaní sánchez na mchangiaji wa global voices claudia cadelo, walitiwa mbaroni na majeshi ya usalama.

English

on the evening of november 6, babalú blog linked to a post by penultimos dias (es) reporting that a number of prominent cuban bloggers, including yoaní sánchez and global voices contributor claudia cadelo, were detained by state security forces.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,747,123,429 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK