Results for iliyopewa translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

iliyopewa

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

pradeep kumar singh anaweka picha na habari za kampeni ya hivi karibu ni ya facebook iliyopewa jina la “jitokeze.

English

pradeep kumar singh posts pictures and news of the recent facebook campaign titled “show up.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika makala ya zamani kwenye blogu, iliyopewa jina la angola drops, mwanablogu wa kibrazili analilezea soko hilo:

English

in an old article, taken from the blog entitled angola drops, the brazilian blogger describes the market:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

pia zingatia, oktoba 24, 2009 ni siku iliyopewa jina la siku ya dunia ya kuchukua hatua za hali ya hewa na wavuti ya 350.org.

English

also take note, october 24th, 2009 has been designated the international day of climate action by 350.org.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika makala ya kina iliyopewa kichwa cha vipande vinavyokosekana katika kitendawili cha matetemeko ya ardhi huko karonga, muza gondwe anajaribu kuliweka na kulijibu swali:

English

in a well-detailed post titled the missing pieces of the karonga earthquake puzzle, muza gondwe attempts to raise and answer the question:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

waandamanaji wamekuwa wakidai kuondolewa madarakani kwa gavana wa wilaya ya kitaifa, jose roberto arruda, na makamu wake, paulo octavio, pamoja na uchunguzi wa kina wa pande zote zilizotajwa katika kesi ya hongo ambayo ilipelekea operesheni ya polisi iliyopewa jina la kasha la pandora.

English

protesters have been demanding the impeachment of the governor of the federal district, jose roberto arruda, and his deputy, paulo octavio, in addition to a thorough investigation into all parties cited in the bribery scandal that led to a police operation codenamed pandora box.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwenye makala iliyopewa kichwa cha habari "kifo katika safari ya kuelekea ulaya", philippe rekacewicz, ambaye ni mfaransa na msanifu wa ramani, atoa ufafanuzi unaoambatana na mfululizo wa ramani kuhusiana na harakati za wahamiaji kutoka afrika kuelekea ulaya.:

English

in an article entitled "dying at the gates of europe", philippe rekacewicz, a french cartographer, illustrates with a series of map the story of the migrants struggle from africa to europe :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,739,475,572 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK