From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
ould bah havuti hewa iliyozoeleka bali huishi kwa kuminya haki za watu na kutengeneza mizozo.
ould bah doesn't breathe ordinary oxygen but lives from making crises and injustice.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa wanablogu wengi, maneno ya adichie yalitoa mwangwi wa kughafirika kwao na taswira ya naijeria iliyozoeleka nje ya nchi.
for many bloggers, adichie's remarks resonated with their frustration at the depictions of nigeria prevalent outside the country.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
makadirio ya vyombo vya habari yasiyosahihi kuhusu afrika ni hali iliyozoeleka - hata kama makosa yamekuwa yakipungua kwa miaka michache iliyopita.
inaccurate media descriptions of africa are not a rare phenomenon - even if the comedy of errors has steadily declined over the last few years.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
nami ninashiriki katika kuchefuka na uvunjifu huu wa sheria ya haki miliki, na njia iliyozoeleka ya kutafsiri na ‘kuiba’ kazi za wengine si nafuu.
i share in the revulsion for plagiarism, and the common tactic of translating and plariagizing is no better.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
tukazungumza kwa kuvutana dakika chache na mwishowe akataka cfa50 zaidi (kama senti 10) na sikuweza kulipa na ndipo nikachukua mfuko wangu na kupakia matunda yangu na kuacha hela kwenye mkokoteni wake wakati sote tukicheka na kuondoka huku nikisema asante na kwamba ningerudi wakati mwingine (hii ni namna iliyozoeleka ya kumaliza mazungumzo nchini cameroon –kusema asante, wakati mwingine).”
we talked back and forth a few minutes and finally he wanted 50 more cfa (like 10 cents) and i wouldn't pay it and so i grabbed a plastic bag and bagged my own apples and left the money on his cart while we both laughed and i walked away saying thank you and that i would come back next time (this is a common way to leave a conversation in cameroon - saying thanks, next time)."
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting