From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
imejengwa kijamii
gendre is a socially constructed phenomenon
Last Update: 2022-12-15
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hatuna mfumo unaoeleweka na nchi imejengwa kwa watu wasio na maana badala kujengwa kwa taasisi imara na kanuni nzuri za utawala.
we have no defined system and the country is built on very useless people instead of strong institutions and good principles of governance.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mvua ikanyesha, mito ikafurika, pepo kali zikavuma na kuipiga nyumba hiyo. lakini haikuanguka kwa sababu ilikuwa imejengwa juu ya mwamba.
and the rain descended, and the floods came, and the winds blew, and beat upon that house; and it fell not: for it was founded upon a rock.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa kawaida huwa ni njama za makusudi sehemu kama hii inapoungua moto. (paa) imejengwa kwa nyasi, kwa hiyo moto utaangamiza kabisa.
usually it is arson when a place like that burns down. they are made of grass thatch, the tombs, so the fire will be absolutely devastating.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
lakini najib razak ni 'mbabe', ambaye haiba yake imejengwa asasi zenye utaalamu mkubwa wa mahusiano ya umma kama apco kwa msaada wa matangazo mengi pamoja na machapisho kibao kwenye vyombo vya habari.
but najib razak is a trojan horse, constructed by professional public relations firm like apco with the help of a very compliant broadcast and printing mass media industry.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
huyo anafanana na mtu ajengaye nyumba, ambaye amechimba chini na kuweka msingi wake juu ya mwamba; kukatokea mafuriko ya mto, mkondo wa maji ukaipiga nyumba ile, lakini haukuweza kuitikisa, kwa sababu ilikuwa imejengwa imara.
he is like a man which built an house, and digged deep, and laid the foundation on a rock: and when the flood arose, the stream beat vehemently upon that house, and could not shake it: for it was founded upon a rock.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: