Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
je, ni idadi ndogo sana ya watoto wachanga wanaokutwa majalalani?
are there too few newborns found in dumpsters? too few in ?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
baadhi ya wagonjwa wana dalili ndogo sana, sawa na mafua.
some patients have very mild symptoms, similar to a cold.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
wakati naeem alihisi kwamba idadi ya waafrika kusini wanaotumia huduma ya twita ni ndogo sana.
while naeem felt that the amount of south african voters that are on twitter constitute a very small minority.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ukiukaji: vikwazo vinaweza kikiukwa, lakini ukiukaji ni ndogo.
violability: constraints are violable, but violation is minimal.
Last Update: 2014-10-26
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
idadi ya watanzania wanaotumia intaneti bado ni ndogo kwa kulinganisha na idadi jumla ya watu.
the number of tanzanians using the internet is still small in comparison to the total population.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ndani ya kila hema (ndogo sana), wao wote wanaishi pamoja, dhidi ya kila mmoja, washiriki wote wa familia moja.
inside each (very small) tent, they all live together, tight against each other, all members of the same family.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
sema: starehe ya dunia ni ndogo, na akhera ni bora zaidi kwa mwenye kuchamngu. wala hamtadhulumiwa hata uzi wa kokwa ya tende.
say (o dear prophet mohammed – peace and blessings be upon him), “the usage of this world is meagre; and the hereafter is better for the pious; and you will not be wronged even (the weight of) a single thread.”
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
— ni kwamba lesotho ni ndogo sana na kwa kweli hana hadhi yoyote ya kupata uzito wa kihabari, na kwa hali yoyote ile, nchi ndogo yenye jamii ya kistaarabu inayokua?
— it’s that lesotho is too small and insignificant to warrant our attention, and in any case, a tiny country with a burgeoning civil society?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa namna ndogo sana, ndogo sana, mazingira yetu hayana tofauti na timu ya uingereza, inayoongozwa na roy hodgson; kuna uwezakano mkubwa wa ushindi lakini ushindi wenyewe haupatikani.
in a minute way, very minute, our position is similar to england’s, currently bossed by roy hodgson. bags of potential, no actual results.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ushirikiano sio mkubwa sana mawasiliano ni muhimu sana 80% ya viongozi walionesha ushirikiano hakuna wawekezaji huko dodoma ardhi haiwatoshi hawahitaji uwekezaji imani ya wananchi kwa viongozi wao ni ndogo ndio maana hawahudhurii vikao vijiji vingi kuna irregurity kwenye kuconvene meetings, village assembly mipaka ya kijiji haifahamiki ni kwa sababu havijawahi kupimwa. viongozi wa baraza la ardhi hawajapewa mafunzo juu ya usuluhishi. vyanzo vya migogoro ni mipaka kijiji na kijiji, shamba na shamba, wakulima na wafugaji??? kongogo ina vitongoji 13 na umbali kutoka vitongoji yafikia umbali wa km 30.
alcoholism
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.